March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

itu cha muhimu zaidi
kunotice ni kwamba matokeo hayajabadilika tangu yameanza kutolewa. Uhuru
kila wakati yuko mbele na gap inazidi kuongezeka. Kwa vile matokeo haya
yanakuja randomly, kwa kuheshimu principles za statistics tunaweza
kusema with significant confidence kuwa Uhuru atashinda huu
uchaguzi.

Pia mtajifunza namna ya kuacha kukimbia na masanduku ya kura na kuacha kuchakachua matokeo...
 
Wanajamii ni kweli kama simba sc ingefanikiwa kuifunga LIBOLO YA ANGOLA ingekutana na CHIPUMBU ya Msumbiji?
 
we are going to win this mkuu

Of course its not over until its over lakini mwelekeo unaonyesha tofauti na matumaini yako.

Halafu ikiwa raila atashinda basi intergrity ya tume itakuwa questiened kwa mara nyingine. Haiwezekani mtu aongoze continuously halafu ghafla mambo yabadilike.
 
Naona jahazi la ndugu yetu Raila linazidi kuzama tu. Inabidi atumie ubaharia upi sijui kupindua upepo mbovu kwake. anyway time is the speaks louder
 
Hivi mkuu Tiba,wewe si uko hapo ,hakuna watu wanaolinda kura hapo?
 
wazungu wanaumiza kichwa vijana WENYE FILE KWA BI FATOU BENSOUDA WANAICHUKUA NCHI
 
Though only 30% of vote have been counted its obvious Uhuru will occupy State House. Momentum and remaining vote count,his strongholds dictate this reality. What this means is no more vitendawilis,childish football analogies,public temper tantrums,embarrassing international incidents and fake crowd pleasing ploys. Which in itself is cause for celebration. Even better is that Uhuru will lead us all forward to a better place. "Our national trajectory toward middle income status started by Kibaki can continue. On an equally happy note the endless bleating and whining without performing that accompanied Raila Odinga's time in government and is his singular style has been rejected by most Kenyans" Karanja'z Place: PRESIDENT UHURU KENYATTA
only 30% of the votes are counted?, wait abit.
 
Kura za sehemu zote hizo including Coast, Busia, Homa Bay, Siaya na Kisumu zipo kwenye hiyo idadi ila sema hawajamaliza kuhesabu kura zote!!! Wanaotarajia mabadiliko kutoka hali ya sasa, hawataki kukubaliana na ukweli kwamba most likely Raila anapoteza kwenye hii round ya kwanza tu.

Tiba

Asante kwa kunijuza!
 
Watu walibishana sana, mpaka nikamua kwenda Kenya ili niutafute ukweli, nikaupata Rutashubanyuma naye alielezea kwa kina zaidi with concreate details, but yet, watu walidiwa na mapenzi/mahaba na hivyo ku cloud uwezo wao kiakili in reasoning.
Nikaeleza kuwa hakuna namna YOYOTE ile anayoweza kuitumia Raila kushinda Uchaguzi huu, watu wakabisha. Speech ya OBAMA ikammaliza kabisa.
Uhuru is the next Kenyan President, whether you want it or not.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom