MD25
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 3,074
- 1,023
itu cha muhimu zaidi
kunotice ni kwamba matokeo hayajabadilika tangu yameanza kutolewa. Uhuru
kila wakati yuko mbele na gap inazidi kuongezeka. Kwa vile matokeo haya
yanakuja randomly, kwa kuheshimu principles za statistics tunaweza
kusema with significant confidence kuwa Uhuru atashinda huu
uchaguzi.
Pia mtajifunza namna ya kuacha kukimbia na masanduku ya kura na kuacha kuchakachua matokeo...