March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga

kikwete, sitta, malecela, mandela, billal. Hao vipi?
 
waliojiandikisha ni milion 14 waliopiga kura ni asilimia 70%kwa hiyo kura zinazoshindaniwa ni miliono 9 tayri wamehesabu miliono 4 bado milion 5 uhuru anaongoza kwa zaidi ya kura laki sita lakini bado kura mil 5 hazijatangazwa tusubiri tuonr ila uhuru ana nafasi kubwa
 
Ndo itakavyokuwa 2015 Lowasa akichukua nchi hahaha!

Nyerere alikuwa waziri mkuu wa mwisho kuchukua nchi kama raisi mbona hata Raila alishindwa kujifunza hili akakubali kupewa uwaziri mkuu anagalia leo inavyomla na kwa huyu baba yako unayempigia kampeni za mapema itakuwa hivyohivyo. kama umesahau Uingereza iliwahi kuomba zile hela za kununua nyumba zichunguzwe serekali ikajifanya kichwa ngumu sasa 2015 ndio utaona pale watakapokuja kusimamia uchaguzi hapa watumwagie na mamashine ya kuhesabia kura utaona matokeo yatakuwa kma haya ya wakenya tu. Kama umesahau hata uchaguzi ulipita matokeo yalianza kuflow kwa mtindo huo mara ikatungwa seria ya haraka kuwa hakuna kutangaza matokeo kutoka majimboni na wakaa nayo wakacheza nayo ndio wakatupa bomu hili tulilonalo wengo ngoja kwanza baba yako mwenyewe sijui hata kama afya yake itamruhusu kufika 2015 na akifika hatutaki kuja kupepea bendera nusu mlingoti na kurudia uchaguzi maana una gharama sana
 

thanks very much for a such good message
 
Hio mijitu kama so called "Friends of Raila" ndio inayoharibu amani!!

What irresponsible remarks!
 

Sure mkuu so far mambo yameanza kushuka taratibu kutoka 6xxx to 5xxx, yaani hata nusu ya stations bado. So watu washishabikie hata kidogo mambo bado kabisa mabichi. Wasubiri kipenga cha mwisho tu.
 

Ndugu yangu, wengine wamesoma lakini hawajaelimika. Ni ajabu kweli mtu anajua kuwa wapiga kura watarajiwa ni milioni 14 na matokeo yana jumla ya kula milioni 5, halafu anaanza kushupaa ati fulani anashinda.
 
[h=3]UHURU KENYATTA[/h]JUBILEE2,459,133 votes
50%
54.9%
counties > 25%
= 2 counties
32



[h=3]RAILA ODINGA[/h]CORD1,823,384 votes
50%
40.7%
counties > 25%
= 2 counties
29



[h=3]MUSALIA MUDAVADI[/h]AMANI122,152 votes
50%
2.7%
counties > 25%
 
JF

click hapa kupata update ya matokeo ya Kenya


http://elections2013.nationmedia.com/president.html

Acha uongo, kama umemsikiliza mwenyekiti wa tume kwa umakini hizo kura zilizoharibika zitaingizwa kwenye equation sasa kama unajua hesabu what will be the impact in percentage wise? bado naona dalili za round ya pili hapo, maana hata nusu ya kura zilizopigwa hazijaripotiwa. Warm up for the 2nd round which is the possibility.
 
Habari wa kubwa!
matokeo ya uchaguzi wa Kenya nan anaongoza had sasa?
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga
miaka 51 kijana ?
 
Wewe subiri kura za kambi ya Odinga...
 
Last edited by a moderator:
Sure mkuu so far mambo yameanza kushuka taratibu kutoka 6xxx to 5xxx, yaani hata nusu ya stations bado. So watu washishabikie hata kidogo mambo bado kabisa mabichi. Wasubiri kipenga cha mwisho tu.
Halafu waangalia siasa za kenya then waangalie kura nyingi zilizo hesabiwa zinatoka wapi...
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga
Mawazo mgando kama yako yanaangamiza mataifa mengi katika maendeleo.

Uadilifu wa kiongozi haupimwi kwa umri wala kabila.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Registered Voter ni 14m walisema turn up ilikuwa 75% kwa hiyo jumla ya kura zilizopigwa ni 10.5m. Bado sana kumpata mshindi ingawa speed ya Odinga kumkamata Uhuru inaonekana kuwa ndogo. Gap linaongezeka badala ya kupungua.
 
discussion ya ujana na uzee itafutieni thread yake, hapa tujadili kilichoko mezani, uchaguzi wa kenya na matokeo yanayotangazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…