PakavuNateleza
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 1,106
- 1,297
Yawezekana anacholisema Tiba ni sahihi lakini ukweli ni kwamba kura hazijaisha kuhesabiwa kwa hiyo sio rahisi kujua idadi ya watu waliopiga na kama wameshajua idadi ya waliopiga toka jana kazi ingekuwa imeshaisha maana hizo percentage toka jana zinatolewa kwa maana hiyo kama unakubali maelezo ya Tiba kwamba idadi ya waliopiga inajulikana obvious kwa muda wote huo hata kura za mmoja mmoja zingekuwa zishajulikana na kazi ingekuwa imeshaisha.
Naona Tume ya Uchaguzi makao makuu BOMAS Nairobi, imeshaanza kujivua lawama kama za Marehemu Kivuitu na kuwataka "The Returning Officers will start bringing the official results any time now. We will announce the official results beginning tomorrow. Each commissioner will read out results for each of the region that they supervise," he said IEBC Chairman Isaack Hassan .
mnakumbuka 1995 matokeo dar yalifutwa,na zanzibar wasimamizi eti walipotea vituo?mi africa ndivyo tulivyo
Ndio tatizo la kutaka kukimbia kabla ya kutambaa. Wanata hi tech system wakati hata "low tech" hawajawahi kuona!!!
Matokeo yalivyo kwa sasa saa 4 kamili usiku leo tarehe 5/3/2013
Uhuru - 2,778,403 - 53.38%
Raila - 2,188,301 - 42.04%
Tiba
Si walisema Kenya inaongoza kwa IT Afrika Mashariki na ya Kati na mitandao (network interconnection) ya IT ipo bomba sana kusafirisha 'data' kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki, bora wangeomba kupitishia 'data' katika mkongo wa mawasiliano wa taifa NATIONAL FIBER OPTIC CABLE NETWORK (MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO)Kilimanjaro - TEHAMA wa Tanzania mambo haya yasingewakuta.
How can you be so sure? Wacha urongo tedo. 40% tu ya kura ndio zimehesabiwa.
Naona Kenyatta anazidi kumpeperushia manyoa Raila... Gap la 500,000, labda awasiliane na ccm wamfundishe au kumsaidia namna ya kukimbia na masanduku au kuchakachu matokeo....
awasiliane na makongoro mahanga..
Naona Kenyatta anazidi kumpeperushia manyoa Raila... Gap la 500,000, labda awasiliane na ccm wamfundishe au kumsaidia namna ya kukimbia na masanduku au kuchakachu matokeo....
MPYA
matokeo yanazidi kubadilika hapa. hivi sasa ni saa 22:05 matokeo kwenye kioo cha kompyuta au ubao wa matangazo wa tume ya uchaguzi kama inavoonekana kwenye facebook ya tume
( https://www.facebook.com/photo.php?...21866226.71929.297270380344107&type=1&theater )
inaonesha sasa kenyatta ana 52.35 na odinga ana 44.63.
Kikundi cha watu wenye silaha kimeteka nyara vituo viwili vya kupigia kura huko Garissa Kaskazini mwa Kenya karibu mwa mpaka wake na Somalia.
Vilevile imeelezwa kuwa watu wapatao 19 wameuawa katika matukio mbalimbali yanayohusiana na uchaguzi.
Chanzo: Gazeti la Metro 5.3.13
View attachment 85678
UHURU 2,771097 =
53%. ODINGA 2179833 = 42% Hii ni kwa mujibu wa mtandao wa tume ya
uchaguzi IEBC | Find a Polling
Station
hii ni taarifa ya uhakika.