Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
I am pleased to have cast my vote. I urge you all to maintain peace as we proceed with voting. Have a blessed day
Mungu awasaidie wa Kenya mchaguane kwa amani. Loh! Mambo gani hayo ya kutoana roho?
Kenya enyi ndugu zetu kunani hapo kwenye uchaguzi? kila ukifika ni kuuana nini tena.Jamani.... Mbona bado asubuhi? R.I.P waliopoteza maisha...