March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Asubuhi asubuhi tayari watu 9 washatoweka duniani!?? loh!
 
mbona mauza uza yameanza mapema hata kabla ya matokeo?
 
Kenya mna nn!!!!! Mbona mnauana ktk jambo nyeti ivi hata kabla ya uchaguzi!! :thumbdown::thumbdown:
 
here in meru people picking up people
from there homes to go cast vote.I
have turned into a taxi driver taking
elderly people to their polling station.
 
Wait a minute did i hear iebc chairman extend his condolences for an explosion in Mandera? Who has details?
 
Jamani.... Mbona bado asubuhi? R.I.P waliopoteza maisha...
 
kweli biashara asubuhi jioni mahesabu!!!hata kura hamjapiga yamekuwa hayo! R.I.P mliotangulia!
 
I am pleased to have cast my vote. I urge you all to maintain peace as we proceed with voting. Have a blessed day
281947_348332345272168_445187345_n.jpg
 
Mungu awasaidie wa Kenya mchaguane kwa amani. Loh! Mambo gani hayo ya kutoana roho?
 
Wameuwawa kwasababu gani?
Maana isitangazwe tu ikaonekana wameonewa Labda ni majambazi? kipindi cha uchaguzi wanachukulia Advantages watu wako bussy na Uchaguzi?
 
Mungu awatangulie watani zetu wajadi. unajua amani kenya ni muhimu sana kwenye east African

union.Hospitali nzuri tunazipata Nairobi, Spea za electronic na za magari zilizoshindikana TZ Tunazipata

Kenya.Mungu ibariki kenya Mungu ibariki East Africa na watu wake sisi sote ni ndugu
 
huku pwani ndio kuna wale wafuga ndevu kwa wingi so hawataki watu wapige kura
 
Kinachogomba hapa ni ukabila. Uchaguzi umegubikwa na tatizo la ukikuyu na jaluo. Sasa na mkumbo unaingia kwa wale wa pwani kudai wao si wakenya.
 
Kuna mwanajanvi mwenzangu hapa kwajina la Ruta mzee wa mistari! Nilishamwambia hapo Kenya lazima zipigwe akanibishia!
 
Mungu awapitishe kwa amani wananchi wa Kenya ili yasijirudie ya uchaguzi uliopita kwa kua baada ya kila kitu kwisha Kenya itabaki kua Moja....Mungu akupeni kiongozi mwema na mwenye Hekima,na akuondoleeni ghadhabu na roho ya hasira!
 
Wakenya wengi wanaohojiwa wanasema they are voting for change.
 
Back
Top Bottom