Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
hawa wanasababisha watu waingie barabarani..
Wizi mtupu na mbaya zaidi ma-director wa picha ni wabongo wakiongozwa na jangili mzoefu kinaanaa.
Unaweza kufafanua mkuu?
Mkuu Nyamizi: Ngoma bado nzito hadi sasa hivi ingawa Uhuru anaongoza kwa >53% kisheria hawezi kutangazwa ushindi kiti cha Urais kwani bado hajafikisha 25% ya angalau majimbo 24 let's observing!!Sasa naanza kuelewa kwanini RAILA anapata wasiwasi na utangazaji huu! Kenyatta kamaliza anga zake sasa wanapata kigugumizi kutangaza kwa Odinga.
Nilikuwa nikutukane kwa namna ulivyo weka bandiko lako yaani utadhani mgeni hapa JF, kama una taarifa tuwekee siyo kutuambia wana rusha kitu...
Masanja , nadhani Mwita Maranya ametoa mfano mzuri na wenye uhalisia ,unadhani hapo ukipewa ushindi kweli ni halali , hiyo ndo demokrasia unayoizungumzia ? Na hii ndo sababu halisi ya kujumlisha kula zilizoharibika
Sasa ni wakati muafaka kwa sisi watanzania twende mbele zaidi kwa kuingiza sheria itakayotambua hata na idadi ya wapiga kura waliojitokeza , kama itakua chini ya 60 % ya watu wote waliojiandikisha , huo uchaguzi hautakuwa halali ,lazima kitu kifanyake , ili matakwa halisi ya wananchi yawakilishwe.
Inakuwaje turn out ya iwe <50 % halufu uwe mshindi halali wa kidemokrasia
The trend has just changed abruptly...Raila Odinga is now leading!
Source: IESB Results posted at https://www.facebook.com/friendsofraila
Kiongozi thats precisely what I am talking about. The law as it stands now..we can inteprete the way we want but no way you can tell me that an invalid vote be counted for determining the winner. Katiba au sheria husika ingebidi iwe clear kwamba 50%+1 it means either for cast votes or invalid votes. Unaona hivi ni vitu viwili tofauti kabisa (cast votes and invalid votes). So kwa Tanzania hili ndo somo la kujifunza katika mchakato huu. Inabidi sheria yetu iwe wazi kabisa..iseme wazi either mshindi atapatikana kwa asilimia ya kura zote zilizopigwa AU kwa asilimia ya kura halali zilizopigwa.
I can bet kama either of the loser ataweka hiyo argument..usije kushangaa issue ikaenda mahakamani kutafsiri nini maana ya maneno kama : Kura, kupiga kura, kura halali nk!
Siwezi kulalamika sana, maana kiukweli Kenya wamejitahidi sana and the process is still in trial and error phase.
Can somebody enlighten me kwamba kuharibu kura yaweza kuwa kosa? Maana wengine wanaweza kuharibu kura deliberately. Na hapa ndo pagumu huwezi ku-determine kwamba kura zote ziliharibika kwa bahati mbaya. Inawezekana kabisa mpiga kura alikuwa hawataki/hana imani na wagombea wote..na akaamua kupiga protest vote kwa kuiharibu. Motives ni nyingi. Lakini kikubwa ni kwa nchi nyingine kujifunza huu mkanganyo twaweza kuukwepa vipi.
Nitamuuliza one of my former Professors.... was heavily involved in the making of this Kenyan Constitution. What was the motive of this ambiguity or was it an oversight...? Nitakuja hapa hapa kuwajuza nikipata jibu.
Masanja
The trend has just changed abruptly...Raila Odinga is now leading!
Source: IESB Results posted at https://www.facebook.com/friendsofraila