March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

hawa wanasababisha watu waingie barabarani..

Ni mapema sana kunclude,no matter what it will be Kenyans people will not barabarani.

Kwanza uchaguzi umewachosha sana,so what they want is peace and harmony for their national development otherwise

if that happen this time the ICC will be on the side of the coin.
 
wewe #kinana ndo unawafundisha kenya uchakachuzi au wanakusingizia?. Rudi tanzania uache wajenge nchi yao bana. mia
 
Hizi kura zinazokujaga na miguu, huwa zina shida kweli......
 
Wizi mtupu na mbaya zaidi ma-director wa picha ni wabongo wakiongozwa na jangili mzoefu kinaanaa.
 
Sasa naanza kuelewa kwanini RAILA anapata wasiwasi na utangazaji huu! Kenyatta kamaliza anga zake sasa wanapata kigugumizi kutangaza kwa Odinga.
Mkuu Nyamizi: Ngoma bado nzito hadi sasa hivi ingawa Uhuru anaongoza kwa >53% kisheria hawezi kutangazwa ushindi kiti cha Urais kwani bado hajafikisha 25% ya angalau majimbo 24 let's observing!!
 
Nilikuwa nikutukane kwa namna ulivyo weka bandiko lako yaani utadhani mgeni hapa JF, kama una taarifa tuwekee siyo kutuambia wana rusha kitu...

tatizo muda tuko bize kusaka manoti wewe acha kelele gonga kitu online hapo ucheki acha uvivu
 
Masanja , nadhani Mwita Maranya ametoa mfano mzuri na wenye uhalisia ,unadhani hapo ukipewa ushindi kweli ni halali , hiyo ndo demokrasia unayoizungumzia ? Na hii ndo sababu halisi ya kujumlisha kula zilizoharibika

Sasa ni wakati muafaka kwa sisi watanzania twende mbele zaidi kwa kuingiza sheria itakayotambua hata na idadi ya wapiga kura waliojitokeza , kama itakua chini ya 60 % ya watu wote waliojiandikisha , huo uchaguzi hautakuwa halali ,lazima kitu kifanyake , ili matakwa halisi ya wananchi yawakilishwe.
Inakuwaje turn out ya iwe <50 % halufu uwe mshindi halali wa kidemokrasia

Kiongozi thats precisely what I am talking about. The law as it stands now..we can inteprete the way we want but no way you can tell me that an invalid vote be counted for determining the winner. Katiba au sheria husika ingebidi iwe clear kwamba 50%+1 it means either for cast votes or invalid votes. Unaona hivi ni vitu viwili tofauti kabisa (cast votes and invalid votes). So kwa Tanzania hili ndo somo la kujifunza katika mchakato huu. Inabidi sheria yetu iwe wazi kabisa..iseme wazi either mshindi atapatikana kwa asilimia ya kura zote zilizopigwa AU kwa asilimia ya kura halali zilizopigwa.

I can bet kama either of the loser ataweka hiyo argument..usije kushangaa issue ikaenda mahakamani kutafsiri nini maana ya maneno kama : Kura, kupiga kura, kura halali nk!

Siwezi kulalamika sana, maana kiukweli Kenya wamejitahidi sana and the process is still in trial and error phase.

Can somebody enlighten me kwamba kuharibu kura yaweza kuwa kosa? Maana wengine wanaweza kuharibu kura deliberately. Na hapa ndo pagumu huwezi ku-determine kwamba kura zote ziliharibika kwa bahati mbaya. Inawezekana kabisa mpiga kura alikuwa hawataki/hana imani na wagombea wote..na akaamua kupiga protest vote kwa kuiharibu. Motives ni nyingi. Lakini kikubwa ni kwa nchi nyingine kujifunza huu mkanganyo twaweza kuukwepa vipi.

Nitamuuliza one of my former Professors.... was heavily involved in the making of this Kenyan Constitution. What was the motive of this ambiguity or was it an oversight...? Nitakuja hapa hapa kuwajuza nikipata jibu.

Masanja
 
Kaendelee na Rubisi yako hapo Akakoto baadae nitafute nitakuwa Akagando najinywea Akaguli baadae tumalizie kwetu pale Akameya.
 
Mkuu hapo kwenye RED we are assuming you meant to say valid votes.

Tiba
 
The trend has just changed abruptly...Raila Odinga is now leading!
Source: IESB Results posted at https://www.facebook.com/friendsofraila

Hiyo haiwezi kuwa reliable and credible source ya majumuisho ya kura. Kwa sasahivi tujitahidi kuzingatia kile kinachotolewa na IEBC tu haya mengine yanaweza kusababisha hasira na minyukano na ukizingatia kwamba watu wameshaanza kuchoka kusubiri.
 
Back
Top Bottom