Kiongozi thats precisely what I am talking about. The law as it stands now..we can inteprete the way we want but no way you can tell me that an invalid vote be counted for determining the winner. Katiba au sheria husika ingebidi iwe clear kwamba 50%+1 it means either for cast votes or invalid votes. Unaona hivi ni vitu viwili tofauti kabisa (cast votes and invalid votes). So kwa Tanzania hili ndo somo la kujifunza katika mchakato huu. Inabidi sheria yetu iwe wazi kabisa..iseme wazi either mshindi atapatikana kwa asilimia ya kura zote zilizopigwa AU kwa asilimia ya kura halali zilizopigwa.
I can bet kama either of the loser ataweka hiyo argument..usije kushangaa issue ikaenda mahakamani kutafsiri nini maana ya maneno kama : Kura, kupiga kura, kura halali nk!
Siwezi kulalamika sana, maana kiukweli Kenya wamejitahidi sana and the process is still in trial and error phase.
Can somebody enlighten me kwamba kuharibu kura yaweza kuwa kosa? Maana wengine wanaweza kuharibu kura deliberately. Na hapa ndo pagumu huwezi ku-determine kwamba kura zote ziliharibika kwa bahati mbaya. Inawezekana kabisa mpiga kura alikuwa hawataki/hana imani na wagombea wote..na akaamua kupiga protest vote kwa kuiharibu. Motives ni nyingi. Lakini kikubwa ni kwa nchi nyingine kujifunza huu mkanganyo twaweza kuukwepa vipi.
Nitamuuliza one of my former Professors.... was heavily involved in the making of this Kenyan Constitution. What was the motive of this ambiguity or was it an oversight...? Nitakuja hapa hapa kuwajuza nikipata jibu.
Masanja