March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

wakuu, nasikiliza deutche welle sasa. matokeo yote ya urais yamefutwa wanahesabu upya manually.

wakenya akili mingi sana. CCM na Kenyata wao wasitake kuwaingiza Wakenya matatizoni tena.
 
Hivi Safaricom haina uhusiano na Vodacom ya Tz?kama ndio basi mchezo wote chini ya RO.

They are sister companies!!!! You remind me of Tanzania Election in 2010!! It Experts were hired from Vodacom!! Stationed at Seaview doing the doctoring thing!! Ghafla kura ziliamriwa zisihesabiwe tena majimboni na kukimbia na masanduku baada ya red alarm kuwaka kwa nguvu sana!! Huu ni ubakaji wa demokrasia!! Sasa tume huru Tz in 2015 na nitaomba huko kazi, haki ya nani!!
 
habari ninayoipata sasa hivi toka redio ujerumani ni kwamba tume imefuta matokeo na kuanza kuhesabu upya.
 
this is what Happened around saa saba

Kisumu County Results: Raila 336,539 (96.5%); Uhuru 4,611 (1.32%); Mudavadi 3,767; Kenneth 578; Kiyiapi 368; Karua 176; Dida 209 #Ballot2013

I tell you the re-doing count of the alredy posted results will shock Kenyans!!! Thank to God that they discovered early. Shame to Kenyata camp!! And the Safari Com engineer needs to be hanged publicly!! Raping people's democracy. He must be insane!!
 
Jamani tusisahau kuwa katibu mkuu wa ccm yupo huko Kenya.
.
 
habari ninayoipata sasa hivi toka redio ujerumani ni kwamba tume imefuta matokeo na kuanza kuhesabu upya.
Kizuri ni kwamba siasa zimewekwa kando katika kukabiliana na uzito wa hitilafu au rafu zilizokuwemo kwenye mfumo mzima wa kuhesabu kura, kukusanya na kutoa matokeo. Ninazisifu sana media za Kenya kwa kutanguliza utaifa mbele kulinda Amani waliyonayo zamu hii. Kumekuwa na mikutano ya ndani/siri kati ya Watoa huduma (Safaricom), IESB na vyama husika kujadili makosa haya na kufikia muafaka kwa kwa njia ya amani, busara na hekima za hali ya juu. Hizi taarifa zipo kwa media houses za Kenya lakini hawajathubutu kuzileta kwenye umma.
 

dah! Hii mambo mbaya sana! Hackers walikuwa wananyonyoa kura za Odinga aisee.
 
Last edited by a moderator:
Huyo engineer hastahili huruma kabisa. Yaani angesababisha kitu mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…