March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Huyu Mkenya kaisha anza kusherehekea!

318046ae765f65ee905972ba99043595_bigger.gif

 
Hivi Safaricom haina uhusiano na Vodacom ya Tz?kama ndio basi mchezo wote chini ya RO.

They are sister companies!!!! You remind me of Tanzania Election in 2010!! It Experts were hired from Vodacom!! Stationed at Seaview doing the doctoring thing!! Ghafla kura ziliamriwa zisihesabiwe tena majimboni na kukimbia na masanduku baada ya red alarm kuwaka kwa nguvu sana!! Huu ni ubakaji wa demokrasia!! Sasa tume huru Tz in 2015 na nitaomba huko kazi, haki ya nani!!
 
habari ninayoipata sasa hivi toka redio ujerumani ni kwamba tume imefuta matokeo na kuanza kuhesabu upya.
 
this is what Happened around saa saba

Kisumu County Results: Raila 336,539 (96.5%); Uhuru 4,611 (1.32%); Mudavadi 3,767; Kenneth 578; Kiyiapi 368; Karua 176; Dida 209 #Ballot2013

I tell you the re-doing count of the alredy posted results will shock Kenyans!!! Thank to God that they discovered early. Shame to Kenyata camp!! And the Safari Com engineer needs to be hanged publicly!! Raping people's democracy. He must be insane!!
 
Jamani tusisahau kuwa katibu mkuu wa ccm yupo huko Kenya.
.
 
habari ninayoipata sasa hivi toka redio ujerumani ni kwamba tume imefuta matokeo na kuanza kuhesabu upya.
Kizuri ni kwamba siasa zimewekwa kando katika kukabiliana na uzito wa hitilafu au rafu zilizokuwemo kwenye mfumo mzima wa kuhesabu kura, kukusanya na kutoa matokeo. Ninazisifu sana media za Kenya kwa kutanguliza utaifa mbele kulinda Amani waliyonayo zamu hii. Kumekuwa na mikutano ya ndani/siri kati ya Watoa huduma (Safaricom), IESB na vyama husika kujadili makosa haya na kufikia muafaka kwa kwa njia ya amani, busara na hekima za hali ya juu. Hizi taarifa zipo kwa media houses za Kenya lakini hawajathubutu kuzileta kwenye umma.
 
Mwenzio nimeamua kukaa hapa LIVE: Kenya counts votes in pivotal elections - CAMPAIGN NEWS - elections.nation.co.ke maana naona JF hakuna updates. Na tangu tatizo libainike kuna mabadiliko makubwa sana. Hata gap kati ya RA na UK linapukutika kwa kasi. Mfano check hizi updates:

17:19 IEBC official presidential results from six constituencies:
ConstituencyRaila OdingaUhuru KenyattaMusalia MudavadiRejected Votes
Rongo33,7281,10357
Wundanyi16,5281,327167
Kajiado South17,50024,000104
Kajiado Central19,99514,745110
Diaspora1,22495110
Mwatate19,8161,888236

KAUNTI ya Kisumu: Raila 336,539 (96.5%); Uhuru 4,611 (1.32%); Mudavadi 3,767; Kenneth 578; Kiyiapi 368; Karua 176; Dida 209 ; Muite 88.

KAUNTI ya KISII, matokeo ya muda: Raila 235,934; Uhuru 95,006; Mudavadi 2,607; Kenneth 2,606; Karua 2,464;Kiyiapi 2,080; Dida 925;Muite 727

IEBC: Mwatate - Kiyiapi 192; Karua 263; Dida 99; Mudavadi 326; Muite 58; Kenneth 183; Raila 19,816; Uhuru 1,888. Zilizoharibika 238.

KURA za Kakamega: Raila 291,462; Mudavadi 137,223; Uhuru 14,919.
Matokeo ya nje ya nchi: Raila 1,224; Uhuru 951; Mudavadi 20; Kenneth 78; Muite 1; Dida 6; Kiyiapi 7; Karua 31

Kaka Tiba tusaidie. Hayo matokeo hapo juu hayathibitishi kuwa kulikuwa na hitilafu?

dah! Hii mambo mbaya sana! Hackers walikuwa wananyonyoa kura za Odinga aisee.
 
Last edited by a moderator:
Huyo engineer hastahili huruma kabisa. Yaani angesababisha kitu mbaya.
 
Back
Top Bottom