March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!


Bange mbaya jamani, hasa ukivuta huku una njaa!!!
 
uafrika kazi sana. electronic media wamechakachua hadi imechanganyikiwa. sasa manual ndo inaonekana kimbilio. tutatoka lini? nilishaanza kutamania kenya kwa kuwa mbali
 
Mkuu matokeo yote yaliyokuwa yametangazwa kupitia electronic devices yamefutwa yote baada ya kushtukia uchakachuaji unaofanywa na kampuni ya safaricom.

Hivyo zoezi zima limeanza upya kwa kuhesabu kura mannually. Hiyo ndo habari ya mjini njomba.
Huenda safaricom walipata special training kutoka bongo! Kibaki atakuwa alikuja kuangalia maendeleo ya training yenyewe. Mambo ya kuja kuaga watz na kupewa jina la barabara iliyokuwa inaitwa bagamoyo ilikuwa danganya toto. Iweje Kibaki aje awage watz tu isiwe waganda, warundi au wanyarwanda? Baada ya kuweka mambo sawa, bw. mkubwa wa bongo akatoa katamko flani nadhani ambayo thread yake ilizunguka hapa JF kati ya jana na juzi
 
Nimeamini kweli duniani kuna Mijitu.
Mijitu iliyo tayari kufanya lolote kwa gharama yoyote kuupindisha ukweli.
Uhuru na Ruto ni kati ya hiyo Mijitu.
CCM na huo uharamia wenu mtauficha wapi uso wenu iwapo Raila atashinda?
 
Hiyo ndio dijitali alikuwa akitamba nayo Ruto kumbe walikuwa wamesuka mambo mengine nyuma ya pazia,jamani watu hawajifunzi huyo engineer aliambiwa na nani afanye hayo aliyokuwa akiyafanya?na ni hatua zipi tume ya uchaguzi na kampuni yake wameichukua,kwa kampuni kaiharibia sifa kampuni yake na sasa tume inabidi irudishiwe fweza zake walizoilipa hiyo kampuni,Wamlimani & co wako tayari kufanya lolote ili wawe wakazi wa jengo la ''kilimani''.Huyo jamaa apelekwa ''Hague''
 
Nimeamini kweli duniani kuna Mijitu.
Mijitu iliyo tayari kufanya lolote kwa gharama yoyote kuupindisha ukweli.
Uhuru na Ruto ni kati ya hiyo Mijitu.
CCM na huo uharamia wenu mtauficha wapi uso wenu iwapo Raila atashinda?
2007 machafuko yale ya Kenya yana mkono wa CCM, nashangaa kwanini mahakama ya ICC hawakuliona hilo, ya mwaka huu pia yana mkono wa hawa majangili.
 
Nadhani bila ya kuwa makini na tume ya uchaguzi, vyama pekee havitaweza kusimamia matokeo yao. Cha msingi na sisi (TZ) kuunda tume huru na yenye lengo la kulinda maslahi ya nchi. La sivyo maana halisi ya kupiga kura itapotea..
 
Nime ikubali sana point yako

hivi aende kinana hukoo mlitaraji nini kama c kutoa mafunzo ya wizi wa kura,make ni mkongwe wa ujuzi huo hivyo alikwenda ku-train ujinga huo.odinga natumai atanyakua tuuu.
 
Kumbe rigging Claims za Cord zilikuwa na maana. Aisee? Kweli ukizoea Vya kunyonga vya kuchinja huwezi. Daaaah???? Madaraka Matamu mtu asikwambie. Shame on Wakikuyu. Ubinafsi umewajaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…