Mpaka sasa uchaguzi wameshauharibu.
Ni kweli uchaguzi ushaharibika, nina wasiwasi yawezekana wazungu wameweka mkono kwenye huu uchaguzi wa Kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa uchaguzi wameshauharibu.
Hayo ni matokeo ya DIASPORAH wakenya wanaoishi East African countries, siyo matokeo ya huko Kenye, nashauri huyu mtu apigwe BAN mpaka uchaguzi wa kenya upite amepotosha kwa makusudi!
......
Uhuru kenyatta 27.5 %
raila odinga 69.7 %
SOURCE - KBC < CITIZEN < NTV......
sasa nimepata pict. nilikuwa sijazipata updates hizo wakuu... nimekubali hawa akina UHURU NA RUTO ni WAHAINI kwa asilimia 100... haiwezekani wadanganye umma wa dunia hii zaidi ya siku tatu sasa... sasa naona wanabuni jinsi ya kuroga akili ya wakenya wanaotumia analojia kuhesabia
.......
Fafanua umeharibikaje?Ni kweli uchaguzi ushaharibika, nina wasiwasi yawezekana wazungu wameweka mkono kwenye huu uchaguzi wa Kenya.
kuna mtu humu jamvini kwenye jukwaa la elimu kasema Hesabu ni kipaji, loh!Hivi kujumlisha sio kuhesabueeeee??
Ila nadhani nimesomeka mkuu
Huenda safaricom walipata special training kutoka bongo! Kibaki atakuwa alikuja kuangalia maendeleo ya training yenyewe. Mambo ya kuja kuaga watz na kupewa jina la barabara iliyokuwa inaitwa bagamoyo ilikuwa danganya toto. Iweje Kibaki aje awage watz tu isiwe waganda, warundi au wanyarwanda? Baada ya kuweka mambo sawa, bw. mkubwa wa bongo akatoa katamko flani nadhani ambayo thread yake ilizunguka hapa JF kati ya jana na juziMkuu matokeo yote yaliyokuwa yametangazwa kupitia electronic devices yamefutwa yote baada ya kushtukia uchakachuaji unaofanywa na kampuni ya safaricom.
Hivyo zoezi zima limeanza upya kwa kuhesabu kura mannually. Hiyo ndo habari ya mjini njomba.
Hiyo ndio dijitali alikuwa akitamba nayo Ruto kumbe walikuwa wamesuka mambo mengine nyuma ya pazia,jamani watu hawajifunzi huyo engineer aliambiwa na nani afanye hayo aliyokuwa akiyafanya?na ni hatua zipi tume ya uchaguzi na kampuni yake wameichukua,kwa kampuni kaiharibia sifa kampuni yake na sasa tume inabidi irudishiwe fweza zake walizoilipa hiyo kampuni,Wamlimani & co wako tayari kufanya lolote ili wawe wakazi wa jengo la ''kilimani''.Huyo jamaa apelekwa ''Hague''Binafsi mimi napongeza kusimamisha hayo matokeo kwani kitu mbaya ilikuwa inaenda kutokea!
Kuna engineer mmoja wa safaricom ambaye matokeo alikuwa anayadoctor kabla ya kuyarusha HOUSE OF BOMASI na tume kuyarusha bila hata kudhibitisha! Baada ya kustuka tume imekodisha hadi chopa kuwafuata wawakilishi toka majimbo yote kuja Nairobi physically ili waweze kuhakiki yale yaliokwisha tangazwa na ambayo bado basi sasa hivi hakuna kupitia safaricom ni mwendo wa manual!
Nafikiri ni hatua nzuri kwa amani ya kenya na husisahau tume ina siku saba za kutangaza maatokeo na sasa ndo tunakaribia 48hrs.
2007 machafuko yale ya Kenya yana mkono wa CCM, nashangaa kwanini mahakama ya ICC hawakuliona hilo, ya mwaka huu pia yana mkono wa hawa majangili.Nimeamini kweli duniani kuna Mijitu.
Mijitu iliyo tayari kufanya lolote kwa gharama yoyote kuupindisha ukweli.
Uhuru na Ruto ni kati ya hiyo Mijitu.
CCM na huo uharamia wenu mtauficha wapi uso wenu iwapo Raila atashinda?
What the fnck is going on?
Mutoto ya mjini Uhuru mbona wanamfanyizia hivi bana??
Nime ikubali sana point yako
Hebu fafanua mkuu,ni hatari kwa vipi?