Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,962
- 721
..
Mkuu hata mimi nilishangaa sana. Huwezi kuona eti kuna constant number difference kati ya Kenyata na Odinga at either 6xxx or 5xxx. Jana tangu asubuhi nilikuwa na-compute tu differences and I was wondering why. Huo engineer anyongwe hadharani kabisa maana anachezea demokrasia za watu. Sasa basi chopa zimeduata matokeo yafanyike mannually ni bora wahesabu siku kumi iwe halali kulika kubaka demokrasia. Long live independent electoral commission of Kenya. Hope things will work better in Tz 2015 havind independent commission in place!! Mwisho wa wizi.
jamaa sjiu ulisomea shule gani hata kura zilizo haribika hujaweka.....achilia mbali wasiopiga kura
saa 3.30 usiku 6.03.2013 Kenyatta 2,978,119 49.55% Raila 2,834,284 47.2%mchuano wa namna hii haumpi Uhuru wa moja kwa moja. round ya pili must. i think this time around rigging has failedNi kweli kabisa kama wameanza upya....ni kweli sasa Raila anaongoza mbali sana 69% kwa 27% za Uhuru!
Sasa kama lazima zingehakikiwa tena kulikuwa na umuhimu gani wa kutumia system hii?
Kubali ukweli kwamba IEBC Imestukia mchezo otherwise wasingehangaika na manual period!
Sasa kama lazima zingehakikiwa tena kulikuwa na umuhimu gani wa kutumia system hii?
Kubali ukweli kwamba IEBC Imestukia mchezo otherwise wasingehangaika na manual period!
Ingawa Sipendi lakini kwa Majonzi Makubwa Nakubalai kwamba Raila anakwenda Kupoteza Pambano. Inauma sana lakini Wakenya wameamua
NAONA UKABILA AT WORK... UK KESHAMPIGA Gap RAILA kitu cha 156,849...Naona mchezo unaanza kama mwanzo
Butola,Mkuu hakuna kura zinazohesabiwa upya, bali official results zinahakikiwa physical ili kupata matokeo rasmi, ata kama system ingefanya kazi vizuri ili bado hili zoezi la kudhibitisha lingefanyika tu, so kwa kuwa system imefeli sasa matokeo yale ya jumla yaliyotoka majimboni yanaingiziwa pale Bomas, hakuna cha kushangilia hapa mkuu,na hakuna wizi wowote wa kumanipulate data uliojdhibishwa mpaka sasa, jiandae tu kisaikolojia kwani kabla usiku huu haujaisha Kenyatta anarudi sehemu yake.