March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

saa 3.30 usiku 6.03.2013 Kenyatta 2,978,119 (49.55%) Raila 2,834,284 (47.2%) mchuano wa namna hii haumpi Uhuru wa moja kwa moja. round ya pili must. i think this time around rigging has failed

Wewe haya matokeo unayatoa wapi? Acha uzushi Bwana, hayo yamefutwa tumeanza upya ebo?

Tiba
 
saa 3.30 usiku 6.03.2013 Kenyatta 2,978,119 (49.55%) Raila 2,834,284 (47.2%) mchuano wa namna hii haumpi Uhuru wa moja kwa moja. round ya pili must. i think this time around rigging has failed

Una usingizi ndugu yangu?nakushauri ukalale
 
Walikuwa wanatumia matokeo ya awali ili kupunguza pressure ya wananchi ukizingatia manual system hutumia muda mwingi zaidi, kuepuka yaliyotokea 2007 walitaka safari iwe faster zaidi, bahati mbaya system imefeli..

Sicho nilichowekea red. Ulisema "ata kama system ingefanya kazi vizuri ili bado hili zoezi la kudhibitisha lingefanyika tu," .

Ndipo nikakwambia kama ndiyo hivyo kulikuwa na umuhimu gani wa kutumia system hiyo?
Anyway usitishwe na hiyo gap ni jambo kawaida kabisa. Kwa siye tunaofahamu mgawanyiko wa Wakenya na ukabila na hizo constituency zilipo hatuna shaka na hayo. Kwa bahati nzuri kwa sasa zinatjwa kabisa hizo constiuency na matokeo yake. Wait and see.
 
Sio unaanza Mwakalinga, mchezo tulishauona toka jtatu, ila watu hapa wakawa wanajifariji na eti kuchakachuliwa...
Naona gap linaongezeka kwa kasi zaidi ya jana walipokuwa wanatumia digitali ambayo wameiweka pembeni... Now ni kitu cha 234,456
 
Butola,

Kwanza labda hatuelewani maana kwa sababu ya kiinglishi na kiswahili. Basi kwa ufupi nasema kwamba,
'the votes are being tallied again manually"...sasa tafuta tafsiri ya hio kwa Kiswahili. Sijasema wanahesabu
kura tena from the polling stations. If I insunuated that in any way, samahani.

Pili sishangilii chochote hapo bali ombi langu ni kwamba haki itendeke pande zote ndiposa watu wasiwe na ishu
za kulalamika. Lakini as the way things stand, there will be complaints from whichever side that loses. Hio
ukae ukijua.

Tuzudi kufahamishana kamanda.

...Heshima kwako mkuu....
 
saa 3.30 usiku 6.03.2013 Kenyatta 2,978,119 (49.55%) Raila 2,834,284 (47.2%) mchuano wa namna hii haumpi Uhuru wa moja kwa moja. round ya pili must. i think this time around rigging has failed
 
Mku, sasa hivi ni kitu tofauti kabisa na awali. Ni sawa na mechi ya home and away. Predictions zote zilizokuwa zinafanywa awali zilikuwa derived kutoka kwenye matokeo yaliyokuwa yanaonyeshwa awali. Kwahiyo hapa pia ikifika stage fulani pia tutaanza tena upya kufanya prediction.

nimekusoma mkuu.
 
Naona gap linaongezeka kwa kasi zaidi ya jana walipokuwa wanatumia digitali ambayo wameiweka pembeni... Now ni kitu cha 234,456

Mkuu heshima mbele.

Afazali gap ya laki mbili kuliko ile ya nusu milioni. Cheki hii graph niliopata sehemu kuonyesha 'arithmetic progression'
ambayo ilikua inaendelea baada ya jamaa ku-hack system ya IEBC...

483848_10200776144916725_1154623076_%20n.jpg
 
umasikia shaka salli na abdul shakur abood toka nairobi. fungua STAR TV. THEN UTAELEWA KUWA KENYATTA EARLY LEAD RESULTS ARE NO LONGER HELD AS OFFICIAL RESULT FROM IEBC. PERIOD . I CANT GO TO SLEEP UNTIL EVERYTHING IS ON THE OPEN
 
Mungu ni wa ajabu sana......atabaki kuwa Mungu: Baada ya tume ya uchaguzi kuamua kuhesabu kura manually sasa Odinga anaongoza ana kura 71% na Kenyatta kura 28.3%. Kenyatta na Ruto ni hatari........walipanga na programa wa komputa ili kura za Kenyatta ziongozeke na za Raila zipungue lakini Mungu amewaumbua, hii mbinu ilikuwa imefanikiwa kwa ajili ya pesa. Mungu tunakushukuru.
 
unamsikia Shaka Salli na abdul shakur abood toka nairobi. fungua STAR TV. THEN UTAELEWA KUWA KENYATTA EARLY LEAD RESULTS ARE NO LONGER HELD AS OFFICIAL RESULT FROM IEBC. PERIOD . I CANT GO TO SLEEP UNTIL EVERYTHING IS ON THE OPEN
 
Mungu ni wa ajabu sana......atabaki kuwa Mungu: Baada ya tume ya uchaguzi kuamua kuhesabu kura manually sasa Odinga anaongoza ana kura 71% na Kenyatta kura 28.3%. Kenyatta na Ruto ni hatari........walipanga na programa wa komputa ili kura za Kenyatta ziongozeke na za Raila zipungue lakini Mungu amewaumbua, hii mbinu ilikuwa imefanikiwa kwa ajili ya pesa. Mungu tunakushukuru.

Chanzo tafadhali, si wajua jinsi hili suala lilivyo nyeti Mkuu?
 
chanzo?
give us a link to a streaming election results...
 
Back
Top Bottom