saa 3.30 usiku 6.03.2013 Kenyatta 2,978,119 (49.55%) Raila 2,834,284 (47.2%) mchuano wa namna hii haumpi Uhuru wa moja kwa moja. round ya pili must. i think this time around rigging has failed
saa 3.30 usiku 6.03.2013 Kenyatta 2,978,119 (49.55%) Raila 2,834,284 (47.2%) mchuano wa namna hii haumpi Uhuru wa moja kwa moja. round ya pili must. i think this time around rigging has failed
Walikuwa wanatumia matokeo ya awali ili kupunguza pressure ya wananchi ukizingatia manual system hutumia muda mwingi zaidi, kuepuka yaliyotokea 2007 walitaka safari iwe faster zaidi, bahati mbaya system imefeli..
Naona gap linaongezeka kwa kasi zaidi ya jana walipokuwa wanatumia digitali ambayo wameiweka pembeni... Now ni kitu cha 234,456Sio unaanza Mwakalinga, mchezo tulishauona toka jtatu, ila watu hapa wakawa wanajifariji na eti kuchakachuliwa...
Butola,
Kwanza labda hatuelewani maana kwa sababu ya kiinglishi na kiswahili. Basi kwa ufupi nasema kwamba,
'the votes are being tallied again manually"...sasa tafuta tafsiri ya hio kwa Kiswahili. Sijasema wanahesabu
kura tena from the polling stations. If I insunuated that in any way, samahani.
Pili sishangilii chochote hapo bali ombi langu ni kwamba haki itendeke pande zote ndiposa watu wasiwe na ishu
za kulalamika. Lakini as the way things stand, there will be complaints from whichever side that loses. Hio
ukae ukijua.
Tuzudi kufahamishana kamanda.
ukabila mbaya sana yaani kwa ruto,kenyata kapata kura kibaoNaona gap linaongezeka kwa kasi zaidi ya jana walipokuwa wanatumia digitali ambayo wameiweka pembeni... Now ni kitu cha 234,456
Kaka wakalenjini na wakikikuyu kura zinatosha 51perc > hata wakienda kuhesabia Marekani.... Wait and cWewe haya matokeo unayatoa wapi? Acha uzushi Bwana, hayo yamefutwa tumeanza upya ebo?
Tiba
jumlisha vizuri utaelewa lakini ukiingia kichwakichwa sidhani tutaelewana. use your commnsenseUna usingizi ndugu yangu?nakushauri ukalale
Siyo kweli Mwakalinga Y. R . Peke yao hawawezi fika 51%!!Kaka wakalenjini na wakikikuyu kura zinatosha 51perc > hata wakienda kuhesabia Marekani.... Wait and c
Mku, sasa hivi ni kitu tofauti kabisa na awali. Ni sawa na mechi ya home and away. Predictions zote zilizokuwa zinafanywa awali zilikuwa derived kutoka kwenye matokeo yaliyokuwa yanaonyeshwa awali. Kwahiyo hapa pia ikifika stage fulani pia tutaanza tena upya kufanya prediction.
Naona gap linaongezeka kwa kasi zaidi ya jana walipokuwa wanatumia digitali ambayo wameiweka pembeni... Now ni kitu cha 234,456
Mungu ni wa ajabu sana......atabaki kuwa Mungu: Baada ya tume ya uchaguzi kuamua kuhesabu kura manually sasa Odinga anaongoza ana kura 71% na Kenyatta kura 28.3%. Kenyatta na Ruto ni hatari........walipanga na programa wa komputa ili kura za Kenyatta ziongozeke na za Raila zipungue lakini Mungu amewaumbua, hii mbinu ilikuwa imefanikiwa kwa ajili ya pesa. Mungu tunakushukuru.