winner forever
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,094
- 269
Sioni tofauti kubwa na mwanzo
Yule dingi kiboko ana ng'atuka sijawahi kusikia katembelea US awamu yake ya lala salama
Mkuu hiyo The Hague ilikuwa njama ya akina Raila ili jamaa wasiweze kugombea kipindi kilichokuwa kinafuata, bahati mbaya sana hawakuiweka kwenye katiba kwamba mtu akishatuhumiwa harusiwi kugombea, wahusika wakubwa wa yale machafuko ni Raila na Kibaki shangaa ni kwa nini wao hata mmoja hakuna aliyeshitakiwa.Bado nina-believe hii poll itaenda kwa second round na Raila atawika kwa hiyo round. Kama decision itakuwa ni hii round ya kwanza basi Uhuru ataibuka mshindi na atengeneze serikali ya skyping kutokea huko The Hague,
Latest Presidential OFFICIAL Results (14,308,221 registered voters):
____________________________
08:05am:
Uhuru Kenyatta - TNA: 2,387,467
Raila Odinga - ODM: 1,721,385
____________________________
9.30 AM
UHURU KENYATTA JUBILE 2,443,278 votes 55.1%
RAILA ODINGA CORD 1,769,357 votes 39.9%
Ile ile laki sita, Duhh, nimeanza kuona mruerue. Lakini tuyaache mapenzi ya waKenya yatimie. Kuna wakati wa kila jambo.
107 of 290constituenciesreporting 4,433,513 number of validvotes cast
UHURU KENYATTA JUBILE 2,443,278 votes55.1%
RAILA ODINGA CORD1,769,357 votes39.9%
ODM & CDM mtaisoma number hatariiiiiii jamaa anakimbizwa mbio za magari ya mwenge poleni sana
Odinga lazima atahiriwe tu
Sema baada ya Kuingizwa "Mujini" (kuibiwa) na Wakikuyu, na siyo kushindwa. Au weye Bwana kiongozi Hukumbuki uharamia wa Kibaki?!!!Mkuu nokiatochi mbona Raila na ukoo wake wote akiwemo Dr. Oburu Odinga walitahiriwa baada ya Raila kushindwa uchaguzi mwaka 2007!
Huu uchaguzi una kila dalili ya kutaka kuharibiwa.. Kuna watu wenye akili zao na nguvu nyingi ambao hawako tayari kuona Uhuru anakuwa president.. Na hawa ndo walio-tamper na hizo eletronik machines.. SafariCom japo IEBC wanawakingia kifua na kuwaondoa kwenye lawama lakini wanahusika kwenye sakata la machine hizi.. Naomba Mungu awasaidie wakenya waepuke vurugu..