winner forever
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,094
- 269
Sioni tofauti kubwa na mwanzo
Bado nina-believe hii poll itaenda kwa second round na Raila atawika kwa hiyo round. Kama decision itakuwa ni hii round ya kwanza basi Uhuru ataibuka mshindi na atengeneze serikali ya skyping kutokea huko The Hague,