March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

19:40 With votes from 134 constituencies
counted, Uhuru Kenyatta has 3,152,486;
Raila Odinga has 2,580,302; Musalia
Mudavadi has 174,593; Peter...
Home News Politics
 

maneno mengi point hakuna.....mshindi halali ni uhuru...hapa unaongea kwa mahaba yako kwa raila
 
kitalolo,
Ukweli mimi nipo against any form of status quo, hasa ya kihuni kama ya CCM hapa kwetu. Hali kadhalika ya Kikuyu huko Kenya.
Uhuni naozungumzia ni huu, Hiyo BVR na system nzima iligharimu kama bilion mia tatu za Kenya..Si pesa kidogo hii.
Then leo unakuja na sababu laini kama hii ambayo inaweza kumwaga damu za wananchi??
Pili, Mimi ninaamini kutokana na Viapo vya Wakikuyu kuhusu jaluo kutoupata Urais, ninafikia imani kuwa Kulikuwa na Mkono wa mtu kwenye System .
 
Last edited by a moderator:
Kumbuka anapunguza gap na pia tunaelekea mwishoni kwenye zoezi la kuheabu hizo kura...

Mkuu mnaelekea mwisho upi ikiwa hata nusu ya majimbo ya uchaguzi hayajajumuishwa??
Latest matokeo yaliyopo yanaonyesha kura zilizokwisha kutangazwa ni za majimbo 132 out of 291. Kwahiyo hii ngoma bado mbichi kabisa kama yakifika robotatu ya majimbo yote kukiwa na gap la kuanzia kura laki nne basi hapo itakuwa imekula kwa Raila.
 
Hii ngoma bado mbichi, matokeo haya ni Counties 141 kati ya 290!

07:10pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 3,152,486
Raila Odinga - ODM: 2,580,302
 
Siyo tu itakuwa imekula kwa Raila, bali ikiwa Kenyatta atakuwa na 50%+1, ama laa kitu kinaenda Extra time. Kumbuka kwa ilivyo sasa Kenyatta na kura zake hizo ni 52.5%. na Tinga ni 42.9% kwahiyo si takwimu nzuri sana kwa yeyote, ukizingatia margin ya 50%+1!! sawa bwana Poti Mwita Maranya??
 
Last edited by a moderator:
mliwa Singizia safaricom watu wakaenda kianaligia kwa muda mkaongoza hakukuwa na maneno sasa mmeshikwa mnaanza maneno ache hizo.
 

hapana kitalolo the Railas hawajafanyiwa uhuni wowote, wamedeka sana as if wao ni vitinda mimba au waziwanda wa wakenya na tume ikawasikiliza. Kutolalamika kwa the Uhuru's kusiwafanye wao wajione kua wanaonewa, hebu pata picha kama wangeongoza wao halafu matokeo yafutwe na kuanza kuhesabiwa upya, Unadhani hali ingekuwaje hapo?
 
Last edited by a moderator:

Nimekuelewa Mkuu ila unafikiri kuwa tume inashinikizwa kutangaza matokeo kutokana na kiapo hicho?
Na je kule ndani ya tume kuna wajaluo tu au wakikuyu tu au wakamba tu ambao wangepend kuona kabila fulani linaongoza kenye either kwa kufwata kiapo au kwa kukivunja kiapo kilichowekwa?
Na kama ndivu basi nafikiri ngumi zingeanzia kwenye tu kwa tume wenyewe kwa wenye kushutumiana kuwa kabila fulani linamtangaza raisi kwa kigeze tofauti na matokeo halisi.

Na je unaamini kwamba Kenya ina ukabila? na kama ndio je ni kabila gani lililo kubwa? na je hufikiri kwa kigezo hicho inaweza kuwa ndio sasababu ya uwezekano wa kutimiza kiapo maana kwanza kura zitapigwa kwa wa kufwata ukabila na kna wachache watapiga kwa kwa kufwata sera na wengine mapenzi binafsi na wengine kwa kigezo cha dini na wengine chama?

Kitu kinachomwangusa Raila ni kwakukubali kwake baada ya machafuko ya uchaguzi uliopita kwenda kula ile keki na kuwasahau wananchi na mbaya zaidi kuwatengenezea mazingira ya kesi wenzake ili iwe salama yake kwasasa na mwisho kwa kigezo cha ukabila na kushindwa kuongea jukwaani na kubaki kuonyesha ze komedi tu jukwani wakati wa kampeni
 
Last edited by a moderator:
Hujawasikia Jubilee wakilalama ati IEBC wanabadili matokeo kwa shinikizo la Foregn power ati imtangaze mshindi wapinzani wao? hujaisikia hiyo Mkuu Consigliere?
 
Last edited by a moderator:
Weka source sio assumptions hapa.
 

mkuun ukwelikitugani japo jina lako lina utata, maneno yako uliyoshusha hapa yana ukweli mkubwa sana ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Naona gap limebaki kama laki 3 na ushee, hii ngoma inaonekana bado mbichi.
 
Naona kitu kinazidi ku-decay taratiiibuuu... laki mbili hiyo..!!!!
Uhuru - 3,274,581
Odinga-2,949,181
 
This time jaluo kapiga tambo ndefu kenya taa 3,274,581
odinga 2,949,191
kapunguza kama kilo 3 hivi
 
Tofauti ya kura ni laki 4 na ushee hiv siyo 6 tena anything can happen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…