Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAMA SI MTAJI WA 'KURA 600,000 ZA KI-MALAIKA' RAILA ODINGA NDIYE ATAKUA AKIONGOZA KWENYE MATOKEO YA HIVI PUNDE KWA
KUMZIDI KENYATTA KURA 28,632
Naona ile fomula ya tofauti ya kura 600,000 (katika hesabu za yule anayesadikiwa kuongoza) iliotumika kule kwenye MATOKE YA KUPITIA KULE SAFARICOM yaliokataliwa na tume tena inaendelea kutumika hata sasa.
Kimsingi mtu ukitaka kujua matokeo sahihi kati ya wagombea hawa wa Kenya, kwanza kaondoe jumla ya kura laki 6 ndipo uanze kupiga mahesabu ya ki-ukweli.
Kwa mantiki hiyo, pale ambapo tumeambiwa ya kwamba vinara wawili hawa katika kinyang'anyiro cha kugombea urais hawa kura zao hadi sasa eti nikama ifuatavyo:
Licha ya kuripotiwa na Tume kwamba Uhuru Kenyatta amezoa 3,134,654 na Raila Odinga 2,563,286; mtu yeyote akijaribu tu kuondoa kwanza zile kura 600,000 zilizoingizwa ki-fomula ndipo utakapogundua kwamba kura za kikweli za Mhe Uhuru Kenyatta ni 2,534,654 dhidi ya zile za mpinzani wake wa karibu Raila Odinga zikisimama pale kwenye 2,563,286.
Naam, hadi hapo hii itakua na maana kwamba ni Raila Odinga ndiye atakayekua akiongoza kwa kumuacha nyuma kwa kura 28,632 hadi hivi sasa.
Great Thinkers, kidogo mtu akifanya udadisi makini utagundua ya kwamba kinachofanyika pale Bomas hadi hivi sasa ni ka-mchezo to mdogo tu kwenye Excel.
Sasa mtu ukijiuliza lengo hasa hapa utagundua ya kwamba Ikulu ya Rais Kibaki KATU HAITAKI KITU Marudio ya kupigiwa kura kati ya Kenyatta na Raila kwa kuwa wanakumbuka utafiti wa Synovet ilivyoelekeza ukweli mtupu.
Naam, mara baada ya mtu kujisumbua japo kidogo akilini kwa kuondoa tu zile kura 600,000 zilizopenyezwa hata kule kwenye MATOKEO YA KWENYE MAKARATASI KULE BOMAS hivi sasa utagundua ukweli ule ule waliouona watu wa Synoveta na watafiti wengine kibao nchini humo.
Ndio, kwa hesabu haka kadogo tu ya kuondoa kale ka 600,00 ya uongo ki-fomula mtu yeyote atagundua kwamba hadi hivi sasa anayestahili kuwa mbele katika hayo matokeo ya Nairobi hadi dakika hii ni Raila Odinga akiwa na kura 2,563,286 akifuatwa na Uhuru kwa kura 2,534,654 kukiwa kuna tofauti ndogo sana ya 28,632 peke yake.
Kimsingi ukiangalia hoja yangu hapo juu utagundua ya kwamba kule kuondoa kwanza zile 'KURA ZA KI-MALAIKA MICROSOFT EXCEL 600,000', hii njia ninayozungumzia hapa inakubaliana moja kwa moja na ukweli kwamba si Raila Odinga wala Uhuru Kenyatta atakayeweza kufikia asilimia 51% ya kura zote zilizopigwa nchini humo ila tu wawili hao wataalazimika kwenda kwenye ngwe ya pili ili rais wa kweli nchini humo aweze kupatikana.
Tofauti sana na hii hoja yangu hapa juu, kuna hatari kubwa wapiga kura wa Kenya wakaishia kumuingiza 'RAIS WA MICROSOFT EXCEL' ikulu. Jambo hilo likiruhusiwa kutokea basi kimahesabu za haraka haraka 'SERIKALI YA MICROSOFT EXCEL' itakayozaliwa kwa mtaji wa kura za kipaumbele 600,000 italazimika KUTUMIA GHARAMA KUBWA MNO kutafuta kujihalalisha kwa wananchi ambapo utabiri wangu unaona dalili za akina Dr Ulimboka wetu huyu, Absalom Kibanda kuibuka kule Nairobi kwa kasi kubwa ajabu.
Kikubwa siku zote ni HAKI KWANZA kisha huu wimbo wa AMANI utafuaata tu mkondo wake bila hata ya mtu yeyote kulazimika kupanga polisi kibao barabarani kwenda kuwaua raia kama anavyofanya hivi sasa huyu 'RAIS WETU WA EXCEL' pale Magogoni.
kitalolo,Mkuu ukwelikituganiwe ni mpenzi wa raila??
Naomba kuulizwa we kwa fikra zako unafikiri kwanini tume wanakuwa wahuni kwa kina Raila na sio kwa ma suspects?
Na kama kweli tume wamekuwa wahuni na kama kuna ushahidi kwanini tusiwapeleke mahakamani haraka kuzuia machafuko au mpaka watu waingie mtaani kwamba hakutakuwa tena na muda wa kwenye mahakamani
Kumbuka anapunguza gap na pia tunaelekea mwishoni kwenye zoezi la kuheabu hizo kura...
07:10pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 3,152,486
Raila Odinga - ODM: 2,580,302
Siyo tu itakuwa imekula kwa Raila, bali ikiwa Kenyatta atakuwa na 50%+1, ama laa kitu kinaenda Extra time. Kumbuka kwa ilivyo sasa Kenyatta na kura zake hizo ni 52.5%. na Tinga ni 42.9% kwahiyo si takwimu nzuri sana kwa yeyote, ukizingatia margin ya 50%+1!! sawa bwana Poti Mwita Maranya??Mkuu mnaelekea mwisho upi ikiwa hata nusu ya majimbo ya uchaguzi hayajajumuishwa??
Latest matokeo yaliyopo yanaonyesha kura zilizokwisha kutangazwa ni za majimbo 132 out of 291. Kwahiyo hii ngoma bado mbichi kabisa kama yakifika robotatu ya majimbo yote kukiwa na gap la kuanzia kura laki nne basi hapo itakuwa imekula kwa Raila.
Mkuu ukwelikituganiwe ni mpenzi wa raila??
Naomba kuulizwa we kwa fikra zako unafikiri kwanini tume wanakuwa wahuni kwa kina Raila na sio kwa ma suspects?
Na kama kweli tume wamekuwa wahuni na kama kuna ushahidi kwanini tusiwapeleke mahakamani haraka kuzuia machafuko au mpaka watu waingie mtaani kwamba hakutakuwa tena na muda wa kwenye mahakamani
Mjaluo hana lake...
Kenya ni ya Kenyatta.
kitalolo,
Ukweli mimi nipo against any form of status quo, hasa ya kihuni kama ya CCM hapa kwetu. Hali kadhalika ya Kikuyu huko Kenya.
Uhuni naozungumzia ni huu, Hiyo BVR na system nzima iligharimu kama bilion mia tatu za Kenya..Si pesa kidogo hii.
Then leo unakuja na sababu laini kama hii ambayo inaweza kumwaga damu za wananchi??
Pili, Mimi ninaamini kutokana na Viapo vya Wakikuyu kuhusu jaluo kutoupata Urais, ninafikia imani kuwa Kulikuwa na Mkono wa mtu kwenye System .
Hujawasikia Jubilee wakilalama ati IEBC wanabadili matokeo kwa shinikizo la Foregn power ati imtangaze mshindi wapinzani wao? hujaisikia hiyo Mkuu Consigliere?hapana kitalolo the Railas hawajafanyiwa uhuni wowote, wamedeka sana as if wao ni vitinda mimba au waziwanda wa wakenya na tume ikawasikiliza. Kutolalamika kwa the Uhuru's kusiwafanye wao wajione kua wanaonewa, hebu pata picha kama wangeongoza wao halafu matokeo yafutwe na kuanza kuhesabiwa upya, Unadhani hali ingekuwaje hapo?
Hujawasikia Jubilee wakilalama ati IEBC wanabadili matokeo kwa shinikizo la Foregn power ati imtangaze mshindi wapinzani wao? hujaisikia hiyo Mkuu Consigliere?
KAMA SI MTAJI WA 'KURA 600,000 ZA KI-MALAIKA' RAILA ODINGA NDIYE ATAKUA AKIONGOZA KWENYE MATOKEO YA HIVI PUNDE KWA
KUMZIDI KENYATTA KURA 28,632
Naona ile fomula ya tofauti ya kura 600,000 (katika hesabu za yule anayesadikiwa kuongoza) iliotumika kule kwenye MATOKE YA KUPITIA KULE SAFARICOM yaliokataliwa na tume tena inaendelea kutumika hata sasa.
Kimsingi mtu ukitaka kujua matokeo sahihi kati ya wagombea hawa wa Kenya, kwanza kaondoe jumla ya kura laki 6 ndipo uanze kupiga mahesabu ya ki-ukweli.
Kwa mantiki hiyo, pale ambapo tumeambiwa ya kwamba vinara wawili hawa katika kinyang'anyiro cha kugombea urais hawa kura zao hadi sasa eti nikama ifuatavyo:
Licha ya kuripotiwa na Tume kwamba Uhuru Kenyatta amezoa 3,134,654 na Raila Odinga 2,563,286; mtu yeyote akijaribu tu kuondoa kwanza zile kura 600,000 zilizoingizwa ki-fomula ndipo utakapogundua kwamba kura za kikweli za Mhe Uhuru Kenyatta ni 2,534,654 dhidi ya zile za mpinzani wake wa karibu Raila Odinga zikisimama pale kwenye 2,563,286.
Naam, hadi hapo hii itakua na maana kwamba ni Raila Odinga ndiye atakayekua akiongoza kwa kumuacha nyuma kwa kura 28,632 hadi hivi sasa.
Great Thinkers, kidogo mtu akifanya udadisi makini utagundua ya kwamba kinachofanyika pale Bomas hadi hivi sasa ni ka-mchezo to mdogo tu kwenye Excel.
Sasa mtu ukijiuliza lengo hasa hapa utagundua ya kwamba Ikulu ya Rais Kibaki KATU HAITAKI KITU Marudio ya kupigiwa kura kati ya Kenyatta na Raila kwa kuwa wanakumbuka utafiti wa Synovet ilivyoelekeza ukweli mtupu.
Naam, mara baada ya mtu kujisumbua japo kidogo akilini kwa kuondoa tu zile kura 600,000 zilizopenyezwa hata kule kwenye MATOKEO YA KWENYE MAKARATASI KULE BOMAS hivi sasa utagundua ukweli ule ule waliouona watu wa Synoveta na watafiti wengine kibao nchini humo.
Ndio, kwa hesabu haka kadogo tu ya kuondoa kale ka 600,00 ya uongo ki-fomula mtu yeyote atagundua kwamba hadi hivi sasa anayestahili kuwa mbele katika hayo matokeo ya Nairobi hadi dakika hii ni Raila Odinga akiwa na kura 2,563,286 akifuatwa na Uhuru kwa kura 2,534,654 kukiwa kuna tofauti ndogo sana ya 28,632 peke yake.
Kimsingi ukiangalia hoja yangu hapo juu utagundua ya kwamba kule kuondoa kwanza zile 'KURA ZA KI-MALAIKA MICROSOFT EXCEL 600,000', hii njia ninayozungumzia hapa inakubaliana moja kwa moja na ukweli kwamba si Raila Odinga wala Uhuru Kenyatta atakayeweza kufikia asilimia 51% ya kura zote zilizopigwa nchini humo ila tu wawili hao wataalazimika kwenda kwenye ngwe ya pili ili rais wa kweli nchini humo aweze kupatikana.
Tofauti sana na hii hoja yangu hapa juu, kuna hatari kubwa wapiga kura wa Kenya wakaishia kumuingiza 'RAIS WA MICROSOFT EXCEL' ikulu. Jambo hilo likiruhusiwa kutokea basi kimahesabu za haraka haraka 'SERIKALI YA MICROSOFT EXCEL' itakayozaliwa kwa mtaji wa kura za kipaumbele 600,000 italazimika KUTUMIA GHARAMA KUBWA MNO kutafuta kujihalalisha kwa wananchi ambapo utabiri wangu unaona dalili za akina Dr Ulimboka wetu huyu, Absalom Kibanda kuibuka kule Nairobi kwa kasi kubwa ajabu.
Kikubwa siku zote ni HAKI KWANZA kisha huu wimbo wa AMANI utafuaata tu mkondo wake bila hata ya mtu yeyote kulazimika kupanga polisi kibao barabarani kwenda kuwaua raia kama anavyofanya hivi sasa huyu 'RAIS WETU WA EXCEL' pale Magogoni.
ukwelikitugani,
Ukweli mimi nipo against any form of status quo, hasa ya kihuni kama ya CCM hapa kwetu. Hali kadhalika ya Kikuyu huko Kenya.
Uhuni naozungumzia ni huu, Hiyo BVR na system nzima iligharimu kama bilion mia tatu za Kenya..Si pesa kidogo hii.
Then leo unakuja na sababu laini kama hii ambayo inaweza kumwaga damu za wananchi??
Pili, Mimi ninaamini kutokana na Viapo vya Wakikuyu kuhusu jaluo kutoupata Urais, ninafikia imani kuwa Kulikuwa na Mkono wa mtu kwenye System .
Ndugu hii tofauti ya kura mbona ndogo, inaweza kubadilika!
Weka source sio assumptions hapa.