March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Odinga kuwa rais ni sawasawa na dovutwa kuwa rais wa tanzania...ni ngumu sana
 
Ila naona Mudavad nayeye amejitutumua ukifananisha na wengine naona Kenya hawapendi kuongozwa na mwanamke kabisa sababu Karua ametupwa sana jamani
 
Nasiliza BBC live hakuna kitu kama hicho

Amesema sauti ya Ujerumani wametangaza wee unambishia unasema unasikiliza BBC, haya hao BBC wamesema tofauti? kubali ukweli ameshagaragazwa na safari hii hakuna cha ku-share madaraka!!
 
Wangekua wanataja na province hapa tungejua maana isije kua uhuru anaongoza kwa kua tu maeneo yake yamewai kutoa matokeo

Haya matokeo ni from different parts of Kenya including Siaya kwao na Raila.

Tiba
 
kenyata anapeta aisee,ila yasijemkuta ya Romney maana alipeta mwanzo,mwishoni akazidiwa na kushindwa
 
Yaani sisi watanzania kila kitu tujifunze! hata mwanangu mwenye miezi tisa ashajua baadhi ya vitu lol!

Sisi twajua nini? ule ujanja ujanja wa akina Mangula?
 
Naona Kafiri unachanganya madesa ! Huko wanapambana na makafiri ya kikuyu, yamechukuwa ardhi yote !

We mzee wa vipedo na MANDEVU, hawa wameuawa wakijaribu kuvamia kituo cha polisi RIGHT? sasa wote kwanza ni mandevu na wanaamini KUFA hivyo wataenda mbinguni kitu ambacho ni UJINGA multiple! Kuna ardhi ya waislamu? au ardhi ya wananchi wa Kenya? Someni na elimu dunia kidogo sheikh ubwabwa...
 
bado mapema sana kuea zilizohesabiwa hazijafika hata 40% ya kura zote
 
Back
Top Bottom