Mkodoleaji
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 458
- 138
Kimeshaanza kunuka. CORD wako hewani sasa hivi wanalalamika.
Teh teh teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimeshaanza kunuka. CORD wako hewani sasa hivi wanalalamika.
Saver ya matokeo haifanyi kazi. Tatizo la wakenya wamejifanya kwenda electronic wakati hakuna umeme wa kutosha. Battery hazichargiwa na zoezi lishachauka tayari.
Team Raila imefanya nini?Team Raila
Angalia hapa kwenye hii link. halafu angalia wanapotoa matokeo ya maeneo mbalimbali. Wanaweka total votes na turnout. Sehemu nyingi turnout ni below 15&. Kuna sehemu nyingine ni 0%!!! Na kwa minajili hii tunaweza kusema Uhuru ameshashinda.
KTN Live Stream
Ni mapema mno kusema lolote kwani kura hizo ni asilimia chache mno na pia inategemea wameanza kuripoti kura za provinces zipi!Odinga Oginga Raila ana nafasi bado tena kubwa tu ya kushinda!
PRESIDENTIAL PROVISIONAL RESULTSgive us update
Namba zinazidi kubanana, looks like Raila is now catching up