March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Saver ya matokeo haifanyi kazi. Tatizo la wakenya wamejifanya kwenda electronic wakati hakuna umeme wa kutosha. Battery hazichargiwa na zoezi lishachauka tayari.

Watakuwa walitaka kuchakachua teh teh teh teh. Unajua nimeangalia yale matokeo nikaona bado Kenya ni nchi ya kiafrika yenye matatizo yale yale kama ya kwetu.
 
Masikini Raila, gap linazidi kuongezeka tu. Uhuru: 1 122 582, Raila: 805 710. kama matokeo yataendelea hivi sijui atayakataa tena na mwaka huu.
 
Waafrika kuna vitu hatuvipi userious unaostahili. Huu uchaguzi ulikuwa una kila sababu ya kupewa umakini wa hali ya juu. Hadithi kama saver kuwa down au battery ya device za kutambua watu kuwa haziwekewa charge ya kutosha ni AIBU kwa bara zima.
 
Kama haya matokeo yametoka kwenye sehemu tofauti tofauti za nchi randomly basi ndio game imeshakwisha hivyo, hiyo ni out of the margin of error kabisa.
 
3:15 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 1,180,192 (55.61%); Raila Odinga (ODM) 847,031 (39.91%); Mudavadi (UDF) 60,298 (2.84%)... sijui kama odinga anaweza kumfikia Uhuru kwa hadi sasa.

source: the citizen kenya
 
Raila mwenyewe amesema ana uhakika wa kushinda katika Round ya kwanza. Labda anajua kura zake zitakapotoka.
 
Ingawa kwa kanuni za hesabu hapo Uhuru ameshashinda, kwa sababu kama tangu matokeo yaanze kutoka hakuna hata mara moja Raila amekuwa mbele ya Uhuru basi under natural circumstances hatutegemei hali hiyo kubadilika ghafla.
 
Angalia hapa kwenye hii link. halafu angalia wanapotoa matokeo ya maeneo mbalimbali. Wanaweka total votes na turnout. Sehemu nyingi turnout ni below 15&. Kuna sehemu nyingine ni 0%!!! Na kwa minajili hii tunaweza kusema Uhuru ameshashinda.
KTN Live Stream

This is a percentage of counted votes against the registered total.
 
Ni mapema mno kusema lolote kwani kura hizo ni asilimia chache mno na pia inategemea wameanza kuripoti kura za provinces zipi!Odinga Oginga Raila ana nafasi bado tena kubwa tu ya kushinda!
 
Ni mapema mno kusema lolote kwani kura hizo ni asilimia chache mno na pia inategemea wameanza kuripoti kura za provinces zipi!Odinga Oginga Raila ana nafasi bado tena kubwa tu ya kushinda!

Hawajaanza na province yoyote,hayo ni matokeo random from all provinces.
 
4.19am Uhuru – 1,366,710 votes, Raila – 983,267 Mudavadi 71,151, Kenneth 14,064, Karua 8,946

This the LATEST ...

4
.27am Uhuru (TNA) 1,386,311 votes, Raila (ODM) 996,180 Mudavadi (UDF) 72,033 Kenneth (KNC)14,237 Karua 9,054 (NARC Kenya)

4.36am Uhuru (TNA) 1,405,445 votes, Raila (ODM) 1,015,092 Mudavadi (UDF) 73,075 Kenneth (KNC) 14,439 Karua 9,060 (NARC Kenya)

4.48am Uhuru (TNA) 1,433,379 votes, Raila (ODM) 1,039,653 Mudavadi (UDF) 74,566 Kenneth (KNC) 14,892 Karua 9,380 (NARC Kenya)

5.10am Uhuru (TNA) 1,485,321 votes, Raila (ODM) 1,082,632 Mudavadi (UDF) 78,251 Kenneth (KNC) 15,419 Karua (NARC Kenya) 9,744

6.05am Uhuru (TNA) 1,581,472 votes, Raila (ODM) 1,1629314 Mudavadi (UDF) 83,771 Kenneth (KNC) 16,541 Karua (NARC Kenya) 10,563
 
Namba zinazidi kubanana, looks like Raila is now catching up
 
644251_10151428972936877_357639828_n.jpg
 
give us update
PRESIDENTIAL PROVISIONAL RESULTS
UHURU KENYATTAPARTYVOTESRAILA ODINGAPARTYVOTES
TNA1,407,340ODM1,016,387
MUSALIA MUDAVADIPARTYVOTESPETER KENNETHPARTYVOTES
UDM72,482KNC14,381
MARTHA KARUAPARTYVOTESMOHAMMED DIDAPARTYVOTES
NARC-K8,729ARC6,602
FRANCIS KIYIAPIPARTYVOTESPAUL MUITEPARTYVOTES
RBK8,507SAFINA2,526

 
Namba zinazidi kubanana, looks like Raila is now catching up

wewe usituongopee, kwa gap ilo ingekua CCM wakisaidiwa na TISS pia tume yao ya uchaguz wangeliziba lkn kenya jahazi linazidi kuzama ilo
 
Back
Top Bottom