March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

miaka 51 kijana ?

Inategemea unazungumzia ''ujana'' wa nini. Kwa mfano: mtu mwenye miaka 60 kwa u-papa wa roman catholic tunasema ni ''kijana''. Miaka 35 kwenye kandanda tunasema ni ''mzee'', hivyo kwenye nafasi ya urais miaka 51 bado ni ''kijana''.
 
kaka naomba nikukumbushe yaliyotokea Zanzibar kipindi kile..watu walishaanza hadi kusheherekea na tulio nje tulipigiwa simu tena na viongozi ikiwemo wa ccm kwamba mwaka huu mambo sio but what happened? tusubiri kidogo..utaona changes kwenye tofauti ya kura sasa hivi

Kilichotokea Zanzibar si unakijua lakini...
 
Nafikiri wana tume makini kipindi hiki hasa kwa kuwa inaaongozwa na muislam
 
Mimi sitabiri, ila mshindi hapo Kenya ni R Odinga!! Matokeo yaliyopo sasa ni ya vituo 10,000 tu, kati ya vituo 33000!! Kulikobakia kuna wafuasi wengi wa Odinga! Kwa hiyo hakuna ubishi hapo!!!
 
Come what may, Raila delivered Kenya into safe hands- Kenya's brand new constitution. Things will never be the same again.
 
Watu walibishana sana, mpaka nikamua kwenda Kenya ili niutafute ukweli, nikaupata Rutashubanyuma naye alielezea kwa kina zaidi with concreate details, but yet, watu walidiwa na mapenzi/mahaba na hivyo ku cloud uwezo wao kiakili in reasoning.
Nikaeleza kuwa hakuna namna YOYOTE ile anayoweza kuitumia Raila kushinda Uchaguzi huu, watu wakabisha. Speech ya OBAMA ikammaliza kabisa.
Uhuru is the next Kenyan President, whether you want it or not.

Time will prove you wrong!! Angalia kwanza ameshinda majmbo yepi na jumla ya stations ambazo zimeshajumlisha dhidi ya yale ambayo bado!
 
Kwani ikulu wanaenda kukwapua na kutoka spidi...hawaendi kuiba simu mkuu.Ujana wewe ndiyo unaokufaa kwa hiyo shughuli yako

Ningekuwa na uwezo ningekupa like kwenye kila neno uliloongea kwenye sentensi hii maana umeongea yaliyojitosheleza. Niko sehemu tulivu nimejikuta nabasti kicheko nilipoona eti hawaendi kukwapua simu na kutoka baluu, then ukaongezea ujana yeye ndio unamfaa kwa hiyo shughuli yake kama anaakili atajiuliza ni shughuli ipi kama siyo ya kukwapua simu. hahahaaa leo nimekupenda zaidi
 
Mkuu MORIAH unaweza kutubandikia source .

Friends of Raila wameshatangaza kuwa Raila ameshinda kura za jumla za nchi nzima. habari mpya za mchana huu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MORIAH unaweza kutubandikia source .

Friends of Raila wameshatangaza kuwa Raila ameshinda kura za jumla za nchi nzima. habari mpya za mchana huu.
 
Last edited by a moderator:
There are currently 1821 users browsing this
thread.
(175 members and 1646 guests)
Muheshimiwa Gang Chomba, Logly, samike, omurwa, Dhuks, beseni, Shambano, fishengoma62, John locke, Ng'wale, Landson Tz, lane, Mzee wa Rula, muheshimiwa Balantanda+, Chimbuvu, YgJunior, DMussa, true, mwanya, NYALU BOY, Mringi.., David Raphael, Guus Weyne , MANI, Masuke, MAPINDUZI75, Ronn M, agatony8l, IBRAHIM NZUNDA , symon karanja, Dark City, SAM nicheck, PJ, Cantona severin, Mshindo, muwaha, BULONDO, cooper, Luco2011, joseeY , Consigliere, kichakare, ablood8, mwanachamahai, nuraj, Polisi, Kyenju, MissM4C, kibol, marhaba, Pendael laizer, MkamaP, mama D, Cathode Rays, sembo, Queen kan, Henry Temu, KisakoKivuyo , Zanaki, Mr.Professional, mathewa, Mtumpole, ARUSHA01 , Mkombozi, Mzalendo80, Priga, Tika, wlfwilley, aloycious, Kenyan, Filipo, tusichoke, Tiger One, TzPride, Kashaijabutege, Tanzania Russia, Junius, mgashi, zamlock, Revolution, aspen, Mtoto Wa Mbale, Saint Ivuga, Amir, bulinge, MKOMBOZI1, Zanta, ESCO, Kizimkazimkuu , jailbreaker, Kwolesya, Mwalwimle, Borro, WENCY, Alinda, paesulta, mcharo elibariki, tycoon, Masoud mrisho, Luluka, Mussa Mbuya, salcone, mashah, Inkoskaz, PakavuNateleza, Apolonary, toghocho, JOHN MASSENZA , orwamat, Yegoo, platozoom, Nairoberry, comred, Laurence, MHP, The Magnificient, Namour, Mwanachibhira, tweve, Nkandi, King Zenji, Bill, Mahongole, Kokoliko , elly1978, Junior. Cux, myhem, Meela, Ray2012, Rugas, LeopoldByongje, Emijasha, Chammy, Joss, godwin.chief, shuve, FIDA, mcubic, mysha, namanyele, HOMOSAPIEN, Ntemi Kazwile, Kyaiyembe, Bepari ns, frema 120, Freetown, makayamwene, Lingasiku, ngwini, giraffe, KANUTI SILAYO , msaragambo, Dundrus, kijumbamshale, Log, emwahaja25, hydle, Gajunga, Goodluck Mshana, yindb51, dicksonpm, man s, Msolo, Uncle Rukus, KINGUNGE INNO, Mtoboasiri, ojohn1, Ziroseventytwo, Ka2wa
 
ha ha haaa...kuna ka siri sijui li siri acha nikumegee tu:
Ni hivi Raila atabaki kuwa mgombea wa kudumu na mwenye uzoefu nchini Kenya...
I love Kenya...real.


Leila ooh sorry... Raila na Lipumba ni sawasawa na Gagulo na Sidiria...
 
Back
Top Bottom