meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
kama kawaida lugha gongana imeshaanza!IEBC at pains to explain failure of hi-tech system
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kawaida lugha gongana imeshaanza!IEBC at pains to explain failure of hi-tech system
![]()
Mkuu wangu,kweli inashangaza sana kura zaidi ya laki 3 sio kitu kidogo hicho!
mnakumbuka 1995 matokeo dar yalifutwa,na zanzibar wasimamizi eti walipotea vituo?mi africa ndivyo tulivyoKamchezo kama ka CCM?
Ndio tatizo la kutaka kukimbia kabla ya kutambaa. Wanata hi tech system wakati hata "low tech" hawajawahi kuona!!!
Lakini ukweli unabakia kuwa 42.40% ni ya waliojiandikisha.Ndio maana yake kura zilizopigwa kila kituo zilihesabiwa kwanza na idadi yake kuwasilishwa kwenye tume ya uchaguzi baada ya hapo ndipo individual votes zikaanza kuhesabiwa kwa kila kituo. Bila kujua idadi ya kura zilizopigwa kwanza, ni kutoa mwanya kwa watu kufanya forgery.
Tiba
Tulisema sana hii kitu tukaambiwa eti sisi ni 'Analogue' wao ni 'Digital'...leo punda kagoma mzigo!
Kwakweli matatizo yaliyojitokeza ni ya kishamba na kijinga. Tatizo kama mashine kuwa hazicharge battery haliwezi kueleweka. Vituo vingine clerks wanaingiza password mashine inasema password not accepted!!!
Rudia kusoma maelezo ya tiba uelimike
Sasa katika mazingira kama haya,naiona kabisa possibility ya kumanipulate matokeo especially watakapoamua kutally manually,kweli Africa bado sana maswala ya Tech basi tu kung'ang'ana na vitu ambavyo hatuna uwezo navyo!