March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

gap limerudi palepale,kumbe didital ilikuwa sahihi,sema team ya Raila haitaki kuamini kama imeshindwa

infact inaongezeka, bcoz hiz n fresh data tofauti na za mwanzo za digital. digital diff ilikuwa kitu 1/2 a mil sasa inakimbilia lak5
warning .tofaut ya kura ikifika 1m there is no way raila atampata uhuru.
 
[h=5]06:58AM #IEBCOfficialTally: #Uhuru 1,795,559 #Raila 1,339,426 #Ballot2013[/h]
 
Acha Conspiracy zako Tiba.
Unadhani mambo hayaeleweki? Ni Busara tu imetumika kutoeleza (kwenye media) sababu ya kuanza 'afresh" counting/tallying. Lakini Uwezekano upo kuwa kuna hacking/umafia umefanyika kwenye system ya IEBC, NA SIYO SABABU LEGELEGE unayotaka kutuaminisha hapa ati """Ukweli ni kwamba kulikuwa na technical mistake kwamba zile provisional results zilikuwa zinaonyesha idadi ya kura na percentage kwa kila mgombea. Bahati mbaya, hizo figures hazikujumuisha spoilt votes ambazo zinapashwa kuwa part ya kura zote zilizopigwa. Kama mkiangalia kwa makini hizi final results wameondoa suala la kila mgombea ana % ngapi. Hii imefanyika ili mwisho wa siku mshindi atakayetangazwa awe amekidhi vigezo vyote kisheria.""...This is absurdity Sir!

Asante kwa kunishambulia mkuu. Sasa fuatilia results uone kama kuna tofauti kubwa na zile provisional results halafu uje uniambie hizo sababu zako za kufikirika. Hakukuwa na kitu kama hacking at all.

Tiba
 
Kwa wale wanaomchukia Uhuru shauri yenu, sisi tumeanza kunywa wine kusheherekea ushindi. Angalia matokeo hadi muda huu.

7:53 Official IEBC tally - Kenyatta 2,382,225 against Odinga 1,645,954 with 95 of 291 constituencies having filed their returns.
 
hatimaye kenya imerudia zoezi la kuhesa kura kwa kutua njia ya kianalogia(mikono)baada ile ya kidigital(electronically)kuharibika.Wakenya wamekuwa wapole wakisubiri matokeo kwa hamu kwani wanaamini kwamba njia hiyo ndio sahihi isiyo kuwa na ujanja ujanja na mchuano bado ni mkali kati ya mahasimu wawili ODINGA VS KENYATA.souurce DW ugerumani
 
hatimaye kenya imerudia zoezi la kuhesa kura kwa kutua njia ya kianalogia(mikono)baada ile ya kidigital(electronically)kuharibika.Wakenya wamekuwa wapole wakisubiri matokeo kwa hamu kwani wanaamini kwamba njia hiyo ndio sahihi isiyo kuwa na ujanja ujanja na mchuano bado ni mkali kati ya mahasimu wawili ODINGA VS KENYATA.souurce DW ugerumani
Uhuru Hakamatiki
7:53 Official IEBC tally - Kenyatta 2,382,225 against Odinga 1,645,954 with 95 of 291 constituencies having filed their returns.
 
[h=5]08:06AM #IEBCOfficialTally: #Uhuru 2,387,467 #Raila 1,721,385 #Ballot2013[/h]
 
Sasa Itakuwa zamu ya Kenya kuwa na Rais aliyechaguliwa tu bila sababu kama majirani wake
 
Asante kwa kunishambulia mkuu. Sasa fuatilia results uone kama kuna tofauti kubwa na zile provisional results halafu uje uniambie hizo sababu zako za kufikirika. Hakukuwa na kitu kama hacking at all.

Tiba
Heshima kwako Bwana Tiba,
Ngoja nikukumbushe kitu hapa.
(a). Tallying process ilisimamishwa baada ya incoming tallies ku-stuck (kisingizio wakasema ni jamming kwenye server),
(b). Kumbuka Tallying ilianza Jumatatu jioni, hivi hadi zoezi zima la electronic tallying linasitishwa hiyo jana jumatano mchana,kulikuwa na siku mbili zimepotea kwa kazi bure,( Usanii)..
Sasa basi, ili ujue kulikuwa na Uchakachuaji umefanyika somewhere,
Safaricom wameshindilia Msumari kwa Statement yao,ku-nullify Uhuni wote wa habari fake ya "eti" server/data jamming etc..etc..
Soma hii kama hujaiona,(au umeisoma lakini hutaki)
""Google ndo waliotoa API ya kudesign software ya voting.Safaricom walitoa link from vote station to Bommas.Data center imehostiwa na kampuni binafsi hapo kenya_kwanza nnawasifu wa kenya kwani system yote ni inhouse design! Ila inaonekana some where jamaa waka add fake Polling stations wakaanza chakachua.Safari com wamekataa kujiusisha na haya madudu
CLARIFICATION ON SAFARICOM'S ROLE IN THE MARCH 4TH 2013 GENERAL ELECTIONS

Following numerous queries from the media and in response to public concern, leading integrated communications service provider Safaricom Limited wishes to clarify its specific role with respect to the conduct of the historic March 4th, 2013 General Elections.

1. Safaricom was one of several service providers contracted by the Independent Electoral and Boundaries Commission "IEBC" to provide network connectivity for the electronic transmission of electoral results.

2. In accordance with the terms of our contract with the IEBC , Safaricom's responsibilities were twofold, the first was to provide the virtual private network (VPN) for the conveyance of the results from polling stations across the country previously identified as having sufficient mobile coverage to the IEBC's constituency, county and national tallying center infrastructure.

The second was to deliver 17,900 original manufacturer warranted handsets to the IEBC for use by polling staff for purposes of transmitting electronic results. Safaricom was neither involved in the supply of the software to be used on the mobile handsets nor the distribution and storage of the devices.

3. The observed traffic on the VPN provided by Safaricom did not exceed 3.5 Mbps at any time. When put in to context this is a small fraction of the 3,000 Mbps traffic we observe at any time in our network.

4. The total number of mobile devices provisioned to be used by the IEBC polling staff to relay results on the Safaricom VPN were 32,000, this represents only 2% of the 1.5 million devices connected to our data network at any given time.

5. Further, it must be clarified that during the entire election period

a. Safaricom's role is simply to provide connectivity between the mobile devices and the IEBC tallying centers. Safaricom did not and does not have any role in the technical design, management or specification of the servers, the mobile software application nor the graphic presentation of the results data used by the IEBC.

b. The Safaricom mobile and virtual private network has remained robust with 100% uptime in all areas where coverage was to be provided.

c. Safaricom has provided unrestricted access to representatives of the 8 presidential candidates to assess and monitor its network performance. All of them were and still are confident in our network quality.

As a responsible corporate citizen, Safaricom appreciates and takes seriously its assigned responsibilities and will continue to play its part to support the IEBC in its duties.

Bob Collymore
Chief Executive Officer""
 
Last edited by a moderator:
Sasa Itakuwa zamu ya Kenya kuwa na Rais aliyechaguliwa tu bila sababu kama majirani wake

Africa utadhani tumeumbiwa matatizo, watu wanajichagulia tu viongozi bila kujali maadili ya viongozi, halafu ndio wa kwanza
kulalamika hawana ardhi ya kutosha. Wanashawishi umoja wa africa mashariki uruhusu members kununua ardhi kwenye nchi yeyote, wakati ardhi yao wamempa kenyata.
 
...hakuna tofauti, issue ni kuwa mwanzo ilikuwa ni matokeo ya awali kama walivyotumiwa toka vituoni, haya ya sasa wanaweka matokeo rasmi kama walivyoyapokea live, mpaka kesho baada ya kuwekwa vituo vingi tutarudi palepale tulipokuwa, Uhuru Kenyatta ameshinda...

Uhuru king'ang'anizi sana i see
 
Back
Top Bottom