March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Naanza kuamini Odinga amepoteza gap imebaki ile ile sioni akiimprove.
 
Hiyo namba walipofika ikifika kura zinasimama yani kwa software na hardware vipi wajamani mbona kura hazisongi mbele?
 
Hiyo namba walipofika ikifika kura zinasimama yani kwa software na hardware vipi wajamani mbona kura hazisongi mbele?

Inawezekana washaanza ndondi...
Eeh Mungu linda watu wako, uwape kiongozi atakayewafaa
 
Hiyo namba walipofika ikifika kura zinasimama yani kwa software na hardware vipi wajamani mbona kura hazisongi mbele?
hoja yako ina mashiko, na dakika chache zilizopita wametoka Serena kusema kuwa wanaweza kwenda mahakamani!
 
Hiyo namba walipofika ikifika kura zinasimama yani kwa software na hardware vipi wajamani mbona kura hazisongi mbele?

ha ha haaaaaa! Duh mkuu nimechekaje! Lol, software na hardware zote zime-doctor matokeo,

sasa ni kwa mahakama tu according to raila! Ipo kazia aiseee!
 
[FONT=trebuchet
ms]hoja yako ina mashiko, na dakika chache zilizopita
wametoka Serena kusema kuwa wanaweza
kwenda mahakamani
!
[/FONT]

Tatizo la Raila hataki kukubali kuwa ameshindwa urais...
 
Mbona Kenyan ameacha kuleta update? Kwa sasa kura kutoka majimbo ya uchaguzi 109 bado zinamuweka Uhuru mbele;

Uhuru - 2,543,652
Raila - 1,992,075

Kuna tofauti ya kura zaidi ya 500,000.

Tiba
 
[h=5]2:02PM #IEBCOfficialTally: #Uhuru 2,543,652 #Raila 1,992,025 #Ballot2013[/h]
 
Mbona Kenyan ameacha kuleta update? Kwa sasa kura kutoka majimbo ya uchaguzi 109 bado zinamuweka Uhuru mbele;

Uhuru - 2,543,652
Raila - 1,992,075

Kuna tofauti ya kura zaidi ya 500,000.

Tiba
Tiba bado majimbo mangapi?
 
Last edited by a moderator:
Latest Presidential OFFICIAL Results(14,308,221 registered voters):
_______________________
11:50am:
Uhuru Kenyatta - TNA: 2,475,700
Raila Odinga - ODM: 1,928,627
_______________________
 
Mkuu bado majimbo 182 na CORD tayari wanalalamika wameibiwa. Ajabu

Tiba

Nani kawaambia wameibiwa? Mawakala??!!
Kama wana ushahidi washtaki! kama hawana basi watulie
 
wagombea urais kenya wawe watulivu na waache wananchi wachague wanae mpenda,kwani nimeona baadhi ya wagombea kuanza kulalamika
 
Mbona Kenyan ameacha kuleta update? Kwa sasa kura kutoka majimbo ya uchaguzi 109 bado zinamuweka Uhuru mbele;

Uhuru - 2,543,652
Raila - 1,992,075

Kuna tofauti ya kura zaidi ya 500,000.

Tiba
Hadi sasa sijaona tofauti na matokeo waliyosema yamechakachuliwa
 
Gap 600,000 na uchafu mhudumu leta plissiner Ice Baridiiii nisherekee ushindi kwani hivi ndivyo itakavyokuwa 2015 pale mtoto mlito mgombea kutoka ccm akimuangusha mzee kutoka chadema
 
Back
Top Bottom