March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Unahitaji kushukiwa na roho
mtatifu kujua nini hasa wanachotaka hawa watu wa CORD maana kila
utetezi wao unawaangusha.

Hawa CORD wanafurahisha sana, kura kuhesabiwa Digitally walikataa, wakasema ziesabiwe ki-analogia, Sasa hivi analogia hawaitaki tena, pia wanadai hawaiamini tena tume ya uchaguzi, wanadai tume inawachakachua, sijui wanataka BO aje awahesabie...?
 
Kipindi kile cha Kibaki - Odinga, ndicho kilikuwa kipindi chake cha kuwa rais. Lakini kwa uroho wake wa madaraka, akakubali kugawa madaraka kama alivyofanya Seif wa CUF. Sasa hivi ahesabu maumivu tu...

nakubaliana na wewe.....
 
Hardware inakula kwa Raila sasa, yule engineer bingwa aliyewatonya cord kwamba software inachakachuliwa na engineer wa safaricom, basi atuachambulia ni chips gani sasa hivi zimekuwa installed as part ya hardware saa hivi?

Huyu engineer ndo katupotezea mda tu na ku-create hali tete sahivi, inabidi huyu naye akamatwe. Sasa tungekuwa tumeshafahamu mshindi ama kama wanarudia na wananchi kuendelea na maisha kama kawaida.

One moment, katiba nasikia inasema matokeo lazima yawe yametolewa ndani ya saa 72. hizi saa zinaisha lini, yawezekana hii ndo kadi waliyobaki nayo mkononi cord, waende mahakamani ya kwamba katiba ilikikwa kwa kuzidisha mda wa zaidi ya saa 72.
 
Nami nataka kuufahamu ukweli wa jambo hilo na kama ni kweli hatua gani zimechukuliwa
 
Etii..nasikia eti Kuna nchi imeingiza wanasaikolojia nchini Kenya kumfundisha mgombea fulani namna ya kujitokeza hadharani kupokea matokeo, kukubali kushindwa huku akitabasamu.
 
http://www.standardmedia.co.ke/ktn/live




President

WINNER NEEDS 50% + 1 VOTES AT LEAST 25% OF VOTES IN 24 COUNTIES
112 of 290 constituencies reporting 4,628,973 number of validvotes cast



  • [*=left]
    kenyatta.jpg
    UHURU KENYATTA

    JUBILEE 2,791,325 votes
    50%
    53.5%
    counties > 25%
    = 2 counties
    23

    [*=left]
    [*=left]
    odinga.jpg
    RAILA ODINGA

    CORD 2,023,470 votes
    50%
    41.7%
    counties > 25%
    = 2 counties
    22

    [*=left]
    [*=left]
    mudavadi.jpg
    MUSALIA MUDAVADI

    AMANI 153,571 votes
    50%
    3.3%
    counties > 25%
    = 2 counties
    1

 
Hardware inakula kwa Raila sasa, yule engineer bingwa aliyewatonya cord kwamba software inachakachuliwa na engineer wa safaricom, basi atuachambulia ni chips gani sasa hivi zimekuwa installed as part ya hardware saa hivi?

Huyu engineer ndo katupotezea mda tu na ku-create hali tete sahivi, inabidi huyu naye akamatwe. Sasa tungekuwa tumeshafahamu mshindi ama kama wanarudia na wananchi kuendelea na maisha kama kawaida.

One moment, katiba nasikia inasema matokeo lazima yawe yametolewa ndani ya saa 72. hizi saa zinaisha lini, yawezekana hii ndo kadi waliyobaki nayo mkononi cord, waende mahakamani ya kwamba katiba ilikikwa kwa kuzidisha mda wa zaidi ya saa 72.

No, katiba inatoa siku saba kwa tume kuwa imetoa matokeo. Mwenyekiti wa tume amewakumbusha Wakenya juu ya hii sheria lakini akahidi kutoa matokeo by Friday, kesho.

Tiba
 
Mkuu inawezekana nisiwe na ushahidi wa kutosha kukuridhisha lakini akili ya kawaida inaniambia nijiulize wale wote sita waliotuhumiwa walikuwa na manufaa gani na zile fujo za baada ya uchaguzi, kwa sababu miongoni mwao hakuna aliyekuwa mgombea urais, wengi wao waligombe ubunge na tayari walikuwa wameshatangazwa washindi, waliokuwa na manufaa na zile fujo za baada ya uchaguzi ni wagombea urais waliokuwa wanabishana yaani Raila na Kibaki na ndo maana walivyokubaliana kugawana madaraka zile fujo zilikoma.

Hebu nieleze zile fujo za Kenya zilikuwa na tofauti gani na zile za Ivory Coast baada ya Gbagbo kung'ang'ania ushindi lakini baadaye akajikuta yuko Hague.

Mambo ya kule Ivory Coast iko tofauti na hii mambo ya Kenya,vile najua ni kwamba the truth juu ya Uhuru na Ruto itakuja kujulikana wakati iyo mashtaka ikianzwa kusilikizwa huko The Hague,so nakushauri we ngojea tu utakuja pata ukweli juu ya hizo mambo,
 
Kenyan: pamoja na kazi nzito unaoyifanya, unatuchanganya. Ina maana kura za Raila zinapungua badala ya kuongezeka?
Soma vizuri ENTRIES zako mbili unazoendelea ku-update simultaneously (MAIN na NAMBA 4)
Kwenye main unaandika hivi:
By Kenyan
05:20pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 2,791,325
Raila Odinga - ODM: 2,023,470

116 out of 291 Constituencies results
____________________________


03:15pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 2,660,379
Raila Odinga - ODM: 1,996,181
____________________________

11:50am:
Uhuru Kenyatta - TNA: 2,475,700
Raila Odinga - ODM: 1,928,627
Kwenye na 4 unaandika hivi:

01:00pm
Uhuru Kenyatta (JUBILEE) 2,834,379
Raila Odinga (CORD) 2,234,564
____________________________

12:00pm
Uhuru Kenyatta (JUBILEE) 2,824,755
Raila Odinga (CORD) 2,227,305
____________________________

10:50am
Uhuru Kenyatta (JUBILEE) 2,813,738
Raila Odinga (CORD) 2,221,256
____________________________

08:50am (March 06, 2013)
Uhuru Kenyatta (JUBILEE) 2,801,721
Raila Odinga (CORD) 2,208,736
____________________________


Same person au mko kenyan wawili?




 
Matokea yanapoendelea kutolewa naona nafasi kubwa sana ya tofauti.
Hii inaweza kuleta suala la mtoto wa Rais mstaafu kwenda Ikulu ama upepo waweza geuka.

Wadadisi wa siasa za Kenya hebu tufafanulieni
Maana muda huu naangalia Citizen Tv Live
Walipo taja upande wa urais ndiyo iko hiyo.
 
Uhuru anachukua Nchi, Odinga ake mkao wa kula, maana anaweza kukosa kila kitu.
 
Ile report ya BBC imekaaje?mbona kama wanashabikia uchaguzi urudiwe?kuna kura ngingi fake zimewekwa hazi tally kabisa na valid voters na waliojiandikisha!
 
Back
Top Bottom