March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Uhuru Kenyatta 3,388,033
Raila Odinga 3,105,996

Naona tofauti ya Kura inapungua.
 
Yaani naombea matokeo yapokelewe vizuri kwa utulivu na amani..Kila la kheri Kenya!
 
sa hivi kiasilimia uhuru ana 50.6%, maana yake ni kwamba, zinazidi kupungua.
 
Uhuru Kenyatta 3,467,899
Raila Odinga 3,149,289
Citizen Tv wako live

Inaweza kufanya matokeo ya aliye juu kuja
chini na wa chini kuja juu ?
 
Walianza ya Uhuru sasa ngome ya Raila unaona gap hiyo ya laki 2 na ushee?

Aisee Kenyatta anaweza kupigwa bao la kisigono hivihivi! But tusubirie..... Gap sasa nika laki 2 toka karibu laki 7
 
hala laaaaa! Kudadadeki, mjaluo sasa anaanza mbio za kumalizia! Duh uhuru ataisoma namba aisee, lol
 
Aisee Kenyatta anaweza kupigwa bao la kisigono hivihivi! But tusubirie..... Gap sasa nika laki 2 toka karibu laki 7

Mi nilioteshwa toka awali nawahurumia wakikuyu matumbo yameanza kutoa gesi, na hii gesi inapotea bure.
 
Back
Top Bottom