March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

This ain't over till its over.., and in this case when its over (last vote counted) it might not be over.., Back to square one again..
 
Facts! I second you they might back to square again!
This ain't over till its over.., and in this case when its over (last vote counted) it might not be over.., Back to square one again..
 
Kwa gap Uhuru Kenyatta alilokuwa amempiga Raila odinga la kura million 2 sasa limepungua na kuwa laki mbili sasa naona mitambo ilikuwa inaiba kura au analogia ndo imepiga jeki??Paka asubuhi raila kashinda sasa sijui huko kitaeleweka au??
 
Huu mtanange ukiendelea hivi wanaweza wakarudi uwanjani!
 
Hivi Wakenya nao huwa wanafuatilia uchaguzi wa Tz kama sisi wa Tz tunavyofuatilia wa kwao?
alie lala usimwamshe.sio vibaya kwa cc kufuatilia siasa zao.hawa jamaa eti kwa kuwa wanajiona wanakifahamu kizungu wana act as if they dont care to follow political affears of neighbouring countries.mmarekani pamoja ubabe wake kidunia leo hii anahaha kupandikiza majasusi wake kila nchi hata ktk nchi hizi za kimaskini ili tuu apate kufahamu zinaendeje kisiasa,kijeshi,kiuchumi nk.
 
...naona kuna mtu ashaanza kumpigia honi mwenzake.....!!
 
Bado majimbo 28. Tofauti ya kura inazidi kushuka toka laki 7 hadi sasa laki 2+. Hadi wamalize hakika mambo yatabadilika
 
Mbona kwenye the Daily Nation Uhuru anaongoza kwa kura laki sita. Hizi kura zilizoandikwa hapa source yake ni ipi?
 
23:42 Official presidential results Changamwe constituency: Kiyiapi 61; Karua 63; Dida 209; Mudavadi 468; Muite 13; Kenneth 267; Odinga 27,552; Kenyatta 9,096.

23:39 Official presidential results Kitutu Chache constituency: Kiyiapi 190; Karua 247; Dida 68; Mudavadi 294; Muite 49; Kenneth 286; Odinga 31,283; Kenyatta 5,266.

23:37 Official presidential results Homa Bay Town constituency: Kiyiapi 41; Karua 13; Dida 6; Mudavadi 75; Muite 2; Kenneth 29; Odinga 30,834; Kenyatta 152.

23:35 Official presidential results Kitui South constituency: Kiyiapi 283; Karua 394; Dida 140; Mudavadi 534; Muite 169; Kenneth 203; Odinga 31,431; Kenyatta 4,195.
 
duh hapo kazi ipo...ila inaonyesha walianzia kuhesabu kwenye ngome ya Kenyatta..sasa zamu ya Raila
 
Back
Top Bottom