March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Bado majimbo 68; Uhuru asipoongoza kwenye hayo majimbo ni dhahiri uchaguzi utarudiwa

12:00pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 4,835,482 [49.5%]
Raila Odinga - ODM: 4,316,005 [44.2%]

223 out of 291 Constituencies results
____________________________

kwahiyo haya si matokeo rasmi!!!!!!!!!???????
 
12:00pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 4,835,482 [49.5%]
Raila Odinga - ODM: 4,316,005 [44.2%]

222 out of 291 Constituencies results
____________________________

11:50am:
Uhuru Kenyatta - TNA: 4,828,090 [49.6%]
Raila Odinga - ODM: 4,260,030 [44.1%]

221 out of 291 Constituencies results
____________________________

11:45am:
Uhuru Kenyatta - TNA: 4,804,567
Raila Odinga - ODM: 4,213,120


Kama trend ikiendelea namna hii basi kuna uwezekano mkubwa wa kwenda round two. Itategemea hayo majimbo 69 yaliyobakia yanamuunga mkono nani na kwa kiwango gani. Nadhani muda si mrefu Isaack Hassan ataweza kutangaza matokeo rasmi ya uchaguzi huu, leo ngoma lazima ilale.
 
Tribalism is truly at play but it is not the only factor. Kikuyus + Kalenjins population (number) of registered voters, cannot out-number the rest of the population (number) of registered voters.

Tribalism never ends in Kenya,
Uhuru wil be tribal leader in Kenya
 
Unamaanisha kuwa hayo ndo matokeo ya mwisho? Kwa hiyo tusubiri uchaguzi mwingine?
 
12:00pm:

Uhuru Kenyatta - TNA: 4,835,482 [49.5%]
Raila Odinga - ODM: 4,316,005 [44.2%]

223 out of 291 Constituencies results

Kwa mtindo huu, inabidi litoke jimbo moja in favour of Uhuru ili kumaliza utata wa kwenda second round. Magic inatarajiwa kutoka jimbo moja kubwa huko Meru.

Tiba

Mkuu Tiba unaweza kujua ni majimbo yepi ambayo bado hayajahesabiwa? manake hayo ndiyo yataamua kama ngoma inakwenda round two ama mchezo unaishia round one.
 
Last edited by a moderator:
Yeah, re-election. Natamani nimuone humu Ab-Titchaz na matokeo yake feki, lakini najua Mods huwa wanalindana hata wakidanganya
 
Latest Presidential OFFICIAL Results (14,308,221 registered voters):

____________________________

12:00pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 4,835,482 [49.5%]
Raila Odinga - ODM: 4,316,005 [44.2%]

223 out of 291 Constituencies results
____________________________


For previous Presidential Provisional Results as of March 04-06, 2013, please READ THIS POST Live March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Thanks kenyan; make sure you continue giving us both the number of votes as well as the parcentages.
 
11:58 BREAKING: Civil Society group files
case in High Court seeking to stop tallying of
presidential votes, argues process not credible.

Katiba ya Kenya ni nzuri ila kuna mashimo mengi imeyaacha wazi ambayo yanaweza kuleta shida mbele..ikumbukwe kuwa katiba mpya ilipatikana baada ya maumivu ya 2007/08 hivyo kuna uwezekano mkubwa ilitengenezwa kuponya majeraha lakini ikasahau baadhi ya mambo baada ya majeraha.

If anyone can challenge the electoral process at the court of law, then some may abuse the same..

Its my plea that Kenyans remain calm during this trying times...........
 
Matokeo yamesimama kama hivyo

Source; Citizen tv na leo ni mwisho.

Jaluo chaliiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!

Safi sana, ngoja tuone wasiokuwa na kundi la kuwaweka (maana 50's si wazee wala si vijana) wataipeleka wapi Kenya. Sisi tulimwamini Zombie nchi ikaenda mrama!! Angalau wa kwao wamepiga shule ya uhakika katika maswala ya uchumi labda watasaidia. Wa kwetu alienda kusoma uchumi jina tu ila alienda kukua ili aje aozeshwe mitala!! Madhara yake tunayaona. Uhuru alipokuwa waziri wa fedha angalau kuna kitu alifanya, wa kwetu alipokuwa wa fedha hatukuona chochote cha maana zaidi ya saini nzuri kwenye noti zetu za wakati huo!!

Hongera Uhuru kwa hiki wa-Kenya wanachokufanyia inaonesha wamekuamini pamoja na tuhuma zinazokukabiri!! MUNGU akusaidie utoboe!! Tangu kura zimeanza kuhesabiwa (iwe kwa machine ama manually) unaongoza!!

Ab-Teachaz (samahani kwa kukosea jina lako mkuu) wapi?
 
Mkuu Tiba unaweza kujua ni majimbo yepi ambayo bado hayajahesabiwa? manake hayo ndiyo yataamua kama ngoma inakwenda round two ama mchezo unaishia round one.

Mkuu Mwita Maranya, mimi binafsi siko kwenye nafasi ya kusema hayo majimbo 68 yaliyobaki ni yapi lakini nimetonywa na mwenyeji wangu mmoja hapa kwamba kuna jimbo liko Meru linaitwa Thalaka Nithi ambalo linawapiga kura wengi wasiopungua 110,000. Meru ni stronghold ya Uhuru. Matokeo ya jimbo ili, yanatarajiwa kubadilisha upepo wa uchaguzi huu.

Tiba
 
Unamaanisha kuwa hayo ndo matokeo ya mwisho? Kwa hiyo tusubiri uchaguzi mwingine?

Nina maana kuwa majimbo yaliyobaki kweli yamwezesha yoyote kati ya wagombea hawa kufikisha 50% inayotakiwa na Tume.
 
Tribalism never ends in Kenya,
Uhuru wil be tribal leader in Kenya

tribalism is in everywhere. Hata UK wanataka kujitoa EU sbabu ya tribalism. Kumbuka europe kila nchi iligawanywa kwa kufuata msingi wa kabila na ndiyo maana utakuta nchi inawatu laki 5 kama san marino, estonia 2.5 nk.
Kwa kufuata msingi huo LUO,Kajenjin, kikuyu zilitosha kuwa nchi huru.
 
Tribalism is truly at play but it is not the only factor. Kikuyus + Kalenjins population (number) of registered voters, cannot out-number the rest of the population (number) of registered voters.

true say....halafu Uhuru kwenye strong holds zake alikuwa anampiga za chembe moyo Raila wakati ni kinyume kwa strongholds za Raila. Kama sikosei maeneo ya Nakuru na Pwani Uhuru kapata wastani mzuri tu!
 
[h=5]67 constituencies' results yet to be tallied:
Central 5,
Coast 1,
Rift Valley 26,
Western 9,
... Nyanza 6,
Nairobi 1
Eastern 17,
North Eastern 2[/h]
 
[h=5]67 constituencies' results yet to be tallied:
Central 5,
Coast 1,
Rift Valley 26,
Western 9,
... Nyanza 6,
Nairobi 1
Eastern 17,
North Eastern 2[/h]

once uhuru is declared prisedent either 1st or 2nd round, Kenya and Africa wil b forced to shield him against ICC humiliation!
 
Back
Top Bottom