March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

12:00pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 4,835,482 [49.5%]
Raila Odinga - ODM: 4,316,005 [44.2%]

hivi ikimalizika hizi does it mean uchaguzi unarudiwa.., no one has reached 50% au
Please tuelezane wakuu
 
Siasa mchezo mchafu kama una kazi ya kufanya usijiingeza kwenye hiyo sarakasi.
2002 Raila Odinga wakati huo akiwa katibu mkuu wa KANU, alimgeuka mkuu wa Raisi Moi na kupinga chaguo la mrithi wa Moi kwa wakati ule Uhuru Kenyata.

2007 Uhuru Kenya aliungana na mpinzani wake wa mwaka 2002 kumpinga Raila Odinga asiwe Raisi na walifanikiwa kwa mbinu wanazozijua.

2013 Mwai Kaibaka anamchinjia mbali kabisa mtu aliyemwezesha kuwa Raisi wa tatu la Taifa la Kenya na aliyekuwa msaidizi wake wa karibu kama Waziri Mkuu - Raila Odinga

Mkuu, Moi yalimshinda, Kibaki ataweza? Wacha Kenya iamue!
 
12:00pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 4,835,482 [49.5%]
Raila Odinga - ODM: 4,316,005 [44.2%]

hivi ikimalizika hizi does it mean uchaguzi unarudiwa.., no one has reached 50% au
Please tuelezane wakuu
true, habari ndiyo hiyo!
 
Yeah, re-election. Natamani nimuone humu Ab-Titchaz na matokeo yake feki, lakini najua Mods huwa wanalindana hata wakidanganya

Hapo mkuu hakuna cha marudio, ngoma inogile hii!! Labda kama hizo % ni nje na zile kura za maruhani (zilizoharibika). Hebu wajuzi wa mahesabu watusaidie. Kama hiyo inyooneshwa hapo ndo %-age ya kura zote lazima Uhuru Mwigai Kenyatta ashinde duru ya kwanza. Kumbuka bado kuna constituencies kama 70 hivi hazijawasilisha mahesabu yake, ingawa jamaa naye anapandapanda kidogo. Najipa matumaini kwamba mpaka kufikia mwisho Uhuru atakuwa amevuka kura milioni 5.
 
67 constituencies' results yet to be tallied:
Central 5,
Coast 1,
Rift Valley 26,
Western 9,
... Nyanza 6,
Nairobi 1
Eastern 17,
North Eastern 2

sasa zinahesabiwa kura hewa......... Uhuru ameshinda zamani
 
hivi inabidi izidi hamsini au ifike hamsini na 49.5 sio approximately 50 ?

wanaposema 50% +1 wanamaanisha kweli,hata iwe 49.99999% ngoma inaenda round ya pili. Hata iwe 50% net bila kale kakura ka mtu mmoja (+1 vote) ngoma inarudiwa.mkuu ulisoma PCM nin?
 
12:55pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 4,849,194 [49.5%]
Raila Odinga - ODM: 4,323,153 [44.2%]

225 out of 291 Constituencies results
____________________________

Hiyo iko in red is the key as to whether uchaguzi utarudiwa au Uhuru atachukua ikulu.
Difference hapo ni 66 bado results zake hazijajumlishwa.
 
wanaposema 50% +1 wanamaanisha kweli,hata iwe 49.99999% ngoma inaenda round ya pili. Hata iwe 50% net bila kale kakura ka mtu mmoja (+1 vote) ngoma inarudiwa.mkuu ulisoma PCM nin?

Okay kwahio inabidi ivuke hamsini na sio hamsini. now I get you (lakini kumbuka ikiwa 50% net) kakura kamoja haitabadilisha 50% kuwa 51%, mkuu

Kwahio kumbe kwa jibu rahisi razima iwe more than 50% and not 50% or less au nimekosea
 
ngoma inogile! there are 1719 users browsing this thread....kumbe tunawajali majirani zetu wa next door!
 
Sijawahi kuona kamanda Mwita Maranya akiwa tension tangu nimfahamu hapa jukwaani kama kipindi hiki.
Pia Ritz kuwa neutral na ku conceal kabisa upande anao side nao.
 
Last edited by a moderator:
wanaposema 50% +1 wanamaanisha kweli,hata iwe 49.99999% ngoma inaenda round ya pili. Hata iwe 50% net bila kale kakura ka mtu mmoja (+1 vote) ngoma inarudiwa.mkuu ulisoma PCM nin?

Kuna jamaa pale CoET zamani FoE, UDSM alikuwa na program inaitwa ishe.pas ilitambua pass mark >=40%, wenye 39.9999% walikuwa wakitoa kamasi jamaa awasaidie but where! Vivyo hivyo hapa ni >=50%+1 vote, hapa ndipo patamu, vitu vinagonga vyupi kwa mwendo wa Simple Harmonic Motion (SHM).
 
hebu fafanueni hii hesabu ya 50% + 1 vote

hivi one vote inaweza kubadili hiyo 50%??

naamini wengi tuu humu hawajaielewa hii hesabu.

hebu tufafanuleini mnaoielewa
 
Back
Top Bottom