Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
67 constituencies' results yet to be tallied:
Central 5,
Coast 1,
Rift Valley 26,
Western 9,
... Nyanza 6,
Nairobi 1
Eastern 17,
North Eastern 2
Siasa mchezo mchafu kama una kazi ya kufanya usijiingeza kwenye hiyo sarakasi.
2002 Raila Odinga wakati huo akiwa katibu mkuu wa KANU, alimgeuka mkuu wa Raisi Moi na kupinga chaguo la mrithi wa Moi kwa wakati ule Uhuru Kenyata.
2007 Uhuru Kenya aliungana na mpinzani wake wa mwaka 2002 kumpinga Raila Odinga asiwe Raisi na walifanikiwa kwa mbinu wanazozijua.
2013 Mwai Kaibaka anamchinjia mbali kabisa mtu aliyemwezesha kuwa Raisi wa tatu la Taifa la Kenya na aliyekuwa msaidizi wake wa karibu kama Waziri Mkuu - Raila Odinga
true, habari ndiyo hiyo!12:00pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 4,835,482 [49.5%]
Raila Odinga - ODM: 4,316,005 [44.2%]
hivi ikimalizika hizi does it mean uchaguzi unarudiwa.., no one has reached 50% au
Please tuelezane wakuu
Yeah, re-election. Natamani nimuone humu Ab-Titchaz na matokeo yake feki, lakini najua Mods huwa wanalindana hata wakidanganya
true, habari ndiyo hiyo!
Hii ngoma lazima iende dakika za nyongeza!!
67 constituencies' results yet to be tallied:
Central 5,
Coast 1,
Rift Valley 26,
Western 9,
... Nyanza 6,
Nairobi 1
Eastern 17,
North Eastern 2
hivi inabidi izidi hamsini au ifike hamsini na 49.5 sio approximately 50 ?
wanaposema 50% +1 wanamaanisha kweli,hata iwe 49.99999% ngoma inaenda round ya pili. Hata iwe 50% net bila kale kakura ka mtu mmoja (+1 vote) ngoma inarudiwa.mkuu ulisoma PCM nin?
Itaelekea kuwa Pariah State.....Pakistan ya East Africa
wanaposema 50% +1 wanamaanisha kweli,hata iwe 49.99999% ngoma inaenda round ya pili. Hata iwe 50% net bila kale kakura ka mtu mmoja (+1 vote) ngoma inarudiwa.mkuu ulisoma PCM nin?
Uhuru uhuru