March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

72435_573438102677529_1363461534_n.jpg

Hii election mshindi ako kwa second round,
 
kwanini useme ameshinda wakati hajatangazwa wala hawajamaliza kuhesabu? Mpira dakika 90. mwanzo si ulijua masaa 24 baada ya uchaguzi Rais atakakua kashatangazwa?. Ndo maana nasema tulia uone maajabu ya kenya. mia
Ni kweli mkuu mpira dakika 90 lakini aliye mbele ana probability kubwa ya kushinda kuliko aliye nyuma, halafu hakuna sehemu nimesema kwamba ameshinda nimesema kwa nini tusimwone kama mshindi.
 
...hatimaye muda wa Odinga kustaafishwa rasmi umewadia...
 
BREAKING NEWS: High court rules it has no jurisdiction to hear cases related to elections
 
Mimi sitaki kusikia majimbo mangapi nasubiri kipenga cha mwisho ingawa gap linazidi kuongezeka...

Naona kama kwa sasa gap haliongezeki wala kupungua bali linacheza mule mule 580,000 hadi 610,000 hivi.

Gap likiendelea kuwa hivi basi watalazimika kwenda round ya pili, ingawa bado naamini kwamba Kenyata atashinda kwakuwa ukiangalia kura za mudavadi ambazo ni kiasi cha laki tatu hata kama Odinga atazichukua zote lakini bado haziwezi kumfanya amzidi Kenyata.
 
...hatimaye muda wa Odinga kustaafishwa rasmi umewadia...

Ni kweli lakini si kwa round hii ya kwanza. Kenyata atalazimika kufanya kazi nyingine ya kujipatia kura kama hizi watakapokwenda round two.
 
BREAKING NEWS: High court rules it has no jurisdiction to hear cases related to elections

If the high court doesn't have jurisdiction, who then has? I didn't know Kenya's constitution is similar to our stupid constitution. In Tanzania, once the electoral commission announces the presidential results they cannot be challenged in court.
 
BREAKING NEWS: High court rules it has no jurisdiction to hear cases related to elections

Mkuu hiyo ruling kaitoa nani? Mimi najua kwamba walitangaza ya kuwa wanajipanga kushughulikia kesi za uchaguzi na watafanya kazi hadi weekend ili ziishe mapema. Sasa hili la kusema kwamba hawana jurisdiction limetoka wapi?
 
If the high court doesn't have jurisdiction, who then has? I didn't know Kenya's constitution is similar to our stupid constitution. In Tanzania, once the electoral commission announces the presidential results they cannot be challenged in court.
The Supreme court has.
 
The Supreme court has.

What is the difference between the High Court and Supreme Court? I thought they were the same and that was a reason I posed that question on my reply.
 
If the high court doesn't have jurisdiction, who then has? I didn't know Kenya's constitution is similar to our stupid constitution. In Tanzania, once the electoral commission announces the presidential results they cannot be challenged in court.
No no no no Mr Rufiji,
The Kenyan Constitution is too smart. Kuna SUPREME COURT OF KENYA. Hiyo haswa ndo yenye mamlaka. Subiri Usikie ikiwa mgombea yeyote atakimbilia mahakamani kupinga Matokeo ,ndio utaona Dr Willy Mutunga (CJ,President of Supreme Court), Justice Kalpana Rawal (DCJ,Vice President of the Supreme Court), na Benchi lake.
Katiba yao ni ya kisasa na kitaalam zaidi, Ilipotamka "Sisi wananchi wa Jamhuri ya Kenya,it meant so"!! Siyo ile yetu ya Vijisenti Chenge,yenye matundu kibao.. Eti Chenge anasema "Sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" wakati walijifungia wawili watatu...
So in Kenya its like that Sir!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom