winner forever
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,094
- 269
Hii election mshindi ako kwa second round,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu mpira dakika 90 lakini aliye mbele ana probability kubwa ya kushinda kuliko aliye nyuma, halafu hakuna sehemu nimesema kwamba ameshinda nimesema kwa nini tusimwone kama mshindi.kwanini useme ameshinda wakati hajatangazwa wala hawajamaliza kuhesabu? Mpira dakika 90. mwanzo si ulijua masaa 24 baada ya uchaguzi Rais atakakua kashatangazwa?. Ndo maana nasema tulia uone maajabu ya kenya. mia
Uchaguzi Kenya: Kenyatta (5,115,704 – 49.7%), Odinga (4,513,223 – 43.9p%). majimbo 238 huku kura 98,110 zikiharibika. Habari zaidi @ NTV.Hadi hapo ni kura za majimbo mangapi tayari zimehesabiwa?
Hadi hapo ni kura za majimbo mangapi tayari zimehesabiwa?
Mimi sitaki kusikia majimbo mangapi nasubiri kipenga cha mwisho ingawa gap linazidi kuongezeka...
hapa ubishi mpaka mwisho mkuu..
Kwa matokeo yaliyopo ina maana uchaguzi utarudiwa? maana Uhuru hajafikisha 50%+I vote...hatimaye muda wa Odinga kustaafishwa rasmi umewadia...
Mimi sitaki kusikia majimbo mangapi nasubiri kipenga cha mwisho ingawa gap linazidi kuongezeka...
...hatimaye muda wa Odinga kustaafishwa rasmi umewadia...
BREAKING NEWS: High court rules it has no jurisdiction to hear cases related to elections
BREAKING NEWS: High court rules it has no jurisdiction to hear cases related to elections
Ina maana hata kabla ya round ya pili......hatimaye muda wa Odinga kustaafishwa rasmi umewadia...
BREAKING NEWS: High court rules it has no jurisdiction to hear cases related to elections
Ni pigo kwa obama na wapiga wauaji duniani...kwa hiyo odinga akishindwa ni pigo kwa ccm na chadema? au?
The Supreme court has.If the high court doesn't have jurisdiction, who then has? I didn't know Kenya's constitution is similar to our stupid constitution. In Tanzania, once the electoral commission announces the presidential results they cannot be challenged in court.
The Supreme court has.
No no no no Mr Rufiji,If the high court doesn't have jurisdiction, who then has? I didn't know Kenya's constitution is similar to our stupid constitution. In Tanzania, once the electoral commission announces the presidential results they cannot be challenged in court.