Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubiri ila hawa jamaa watamaliza usiku sana au pengine wanaweza kutangaza kesho.Pole ngoja tufatilie mpambano kati ya Kenyatta na Raila ila nakuomba subiri mpaka dakika ya mwisho..hakuna kuzimia
Ukwelikitugani has made it very clear, please go through his/her clarification and you will see the difference.What is the difference between the High Court and Supreme Court? I thought they were the same and that was a reason I posed that question on my reply.
Mkuu uchaguzi ukifika kachukue fomu umtoe Rage, Oyeeeeeee ni Jubilee na TNA si unaona rangi za TNA sio ya njano na kijani au jembe na nyundo za pale Lumumba.
Kenya nao wamechagua msanii tu.., makosa tuliyoyafanya sisi a while ago.., na sasa tunavuna tulichopanda (walichopanda waliomchagua)
Mwita Maranya mambo ya Libolo yanatoka wapi tena? Hapo Uhuruto wamechanganya Uhuru (wekundu) na Ruto (Njano). Kama wameshinda basi ni nguvu ya woteHahahaha mkuu libolo imekuchanganya hadi umesahau rangi za chama la William Ruto ambaye ni mshirika wa kufa na kuzikana na TNA?? Ni njano kama Jangwani tu...
Matokeo yakoje jamani?
Hahahaha, mkuu ndo maana cha URP sijakitaja, nimetaja TNA tu, Ruto alichungulia akaona hii nyekundu kama ya wanamsimbazi ambao ndo mabingwa watetezi kwa majirani zetu akaona ngoja amwache kijana wa red azungukie mitaa ili baadaye ushindi upatikane.Hahahaha mkuu libolo imekuchanganya hadi umesahau rangi za chama la William Ruto ambaye ni mshirika wa kufa na kuzikana na TNA?? Ni njano kama Jangwani tu...
Pole ngoja tufatilie mpambano kati ya Kenyatta na Raila ila nakuomba subiri mpaka dakika ya mwisho..hakuna kuzimia
MkamaP hebu tuambie Uhuru kapata asilimia ngapi?
Mkuu Kimbunga,
Angalia demokrasia ilivyokuwa pana aisee...Sonko kachukuwa usenetor Nairobi, mkuu Kimbunga na masiku sijafika Nairobi vipi Frorida ipo kama zamani tulikuwa tunakwenda kutabaruku kidogo.
Hahahaha mkuu libolo imekuchanganya hadi umesahau rangi za chama la William Ruto ambaye ni mshirika wa kufa na kuzikana na TNA?? Ni njano kama Jangwani tu...
Ngoma ngumu kwa CORD Kalonzo Musyoka kaitisha mkutano na waandishi habari akiitaka tume ya uchaguzi wasimamishe kutangaza matokeo.
Mahakama nayo imetupilia mbali madai ya wanaharakati waliofungua kesi.
Zilizoharibika sio rahisi kufika 5% kwa sababu hadi sahivi hazijafika hata laki mbili.Mpya: Ili mgombea ashinde ni lazima apate 50% + 1 vote ya kura ZILIZOPIGWA. Hii ina maana hakuna atakayefikisha 50% kwa sababu kura zilizoharibika ni sehemu ya kura zilizopigwa, na zinazidi 5% ya kura zilizopigwa.