March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

There are currently 1430 users browsing this thread. (186 members and 1244 guests) wow
 
Pole ngoja tufatilie mpambano kati ya Kenyatta na Raila ila nakuomba subiri mpaka dakika ya mwisho..hakuna kuzimia
Ngoja tusubiri ila hawa jamaa watamaliza usiku sana au pengine wanaweza kutangaza kesho.
 
What is the difference between the High Court and Supreme Court? I thought they were the same and that was a reason I posed that question on my reply.
Ukwelikitugani has made it very clear, please go through his/her clarification and you will see the difference.
 
Mkuu uchaguzi ukifika kachukue fomu umtoe Rage, Oyeeeeeee ni Jubilee na TNA si unaona rangi za TNA sio ya njano na kijani au jembe na nyundo za pale Lumumba.

Hahahaha mkuu libolo imekuchanganya hadi umesahau rangi za chama la William Ruto ambaye ni mshirika wa kufa na kuzikana na TNA?? Ni njano kama Jangwani tu...
 
Kenya nao wamechagua msanii tu.., makosa tuliyoyafanya sisi a while ago.., na sasa tunavuna tulichopanda (walichopanda waliomchagua)
 
Hahahaha mkuu libolo imekuchanganya hadi umesahau rangi za chama la William Ruto ambaye ni mshirika wa kufa na kuzikana na TNA?? Ni njano kama Jangwani tu...
Mwita Maranya mambo ya Libolo yanatoka wapi tena? Hapo Uhuruto wamechanganya Uhuru (wekundu) na Ruto (Njano). Kama wameshinda basi ni nguvu ya wote
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha mkuu libolo imekuchanganya hadi umesahau rangi za chama la William Ruto ambaye ni mshirika wa kufa na kuzikana na TNA?? Ni njano kama Jangwani tu...
Hahahaha, mkuu ndo maana cha URP sijakitaja, nimetaja TNA tu, Ruto alichungulia akaona hii nyekundu kama ya wanamsimbazi ambao ndo mabingwa watetezi kwa majirani zetu akaona ngoja amwache kijana wa red azungukie mitaa ili baadaye ushindi upatikane.
 
Matokeo tayari ndo hivo Uhuru kachukua nchi, waliopiga kura ni 70% hivyo 14,308,221x70% = 10,015,755.

Hivyo, tactically, the GAME is already OVER.
MkamaP hebu tuambie Uhuru kapata asilimia ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Pole ngoja tufatilie mpambano kati ya Kenyatta na Raila ila nakuomba subiri mpaka dakika ya mwisho..hakuna kuzimia

Mkuu Crashwise kukoje huko? Mimi nipo eneo ambalo lina shida kidogo sijapata matokeo ya Urais japo naona hapo juu kama Raila kapigwa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kimbunga,

Angalia demokrasia ilivyokuwa pana aisee...Sonko kachukuwa usenetor Nairobi, mkuu Kimbunga na masiku sijafika Nairobi vipi Frorida ipo kama zamani tulikuwa tunakwenda kutabaruku kidogo.
 
Last edited by a moderator:
MkamaP hebu tuambie Uhuru kapata asilimia ngapi?

Ngoma ngumu kwa CORD Kalonzo Musyoka kaitisha mkutano na waandishi habari akiitaka tume ya uchaguzi wasimamishe kutangaza matokeo.

Mahakama nayo imetupilia mbali madai ya wanaharakati waliofungua kesi.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye TV wameanza kuonyesha familia ya Kenyatta. Haha ha ha
Unadhani ni nini kinafuata?
 
Mkuu Kimbunga,

Angalia demokrasia ilivyokuwa pana aisee...Sonko kachukuwa usenetor Nairobi, mkuu Kimbunga na masiku sijafika Nairobi vipi Frorida ipo kama zamani tulikuwa tunakwenda kutabaruku kidogo.

Mkuu Ritz Mike Mbuvi aka Sonko aka Bling Bling kamchapa askofu Margret Wanjiru na kuchukua Usenator. Kijana Sonko ni machachari kweli kweli.

Siku hizi kuna Frolida mpya mkuu ile ya zamani kupitia pale Koinange imefifia kidogo. Miaka ya 2000 Florida 2000 ilikuwa moto.
 
Last edited by a moderator:
Ngoma ngumu kwa CORD Kalonzo Musyoka kaitisha mkutano na waandishi habari akiitaka tume ya uchaguzi wasimamishe kutangaza matokeo.

Mahakama nayo imetupilia mbali madai ya wanaharakati waliofungua kesi.

Unajua zile fujo za 2007 zilichochewa na wafuasi wa Raila akina Ruto na James Orengo. Raila ni janga kwenye siasa za Kenya. Miaka ya 80 alijishirikisha ktk mapinduzi. Ruto akamshitukia Raila lakini Kalonzo akajiunga naye na leo naona Kalonzo anaanza kuleta vurugu.
 
Mpya: Ili mgombea ashinde ni lazima apate 50% + 1 vote ya kura ZILIZOPIGWA. Hii ina maana hakuna atakayefikisha 50% kwa sababu kura zilizoharibika ni sehemu ya kura zilizopigwa, na zinazidi 5% ya kura zilizopigwa.
 
Zilizoharibika sio rahisi kufika 5% kwa sababu hadi sahivi hazijafika hata laki mbili.
 
Back
Top Bottom