Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu, matokeo yalivyo kwa sasa yanampa ushindi Uhuru. Kura 5,159,344 alizonazo yanampa asilimia 50.003 kwa kura 10,312,347 ambazo zimewekwa kwenye hesabu. Asilimia 50.003 ni zaidi ya 50%+1
Tiba
Matokeo tayari ndo hivo Uhuru kachukua nchi, waliopiga kura ni 70% hivyo 14,308,221x70% = 10,015,755.
Hivyo, tactically, the GAME is already OVER.
Inamaana hata Tiba hujapata hapo kwa tiba?MkamaP hebu tuambie Uhuru kapata asilimia ngapi?
Zilizoharibika sio rahisi kufika 5% kwa sababu hadi sahivi hazijafika hata laki mbili.
itakuwaje kenya kama atapita uhuru?
Kenya nao wamechagua msanii tu.., makosa tuliyoyafanya sisi a while ago.., na sasa tunavuna tulichopanda (walichopanda waliomchagua)
Hapa kuna dalili za kwenda raundi ya pili, hizo rejected nazo zinaongezeka.
Kabebwa na ccm mafisadi hivyo ni lazima ashinde. Unajua mafisadi wanalindana kote duniani, na hata kinanatembo hatoki huko mpaka Uhuru atangazwa.
Hali ikiendelea hivi basi hali ni mbaya kwa Raila na Kalonzo.rejected tayari zimo kwenye hiyo % yan 50.04%, wasingehesabu hiyo sahizi uhuru angekuwa na kama 54%. Maana hadi sahizi uhuru anazidi kura zote za wagombea wengine ukijumlisha nazilizoharibika.
rejected tayari zimo kwenye hiyo % yan 50.04%, wasingehesabu hiyo sahizi uhuru angekuwa na kama 54%. Maana hadi sahizi uhuru anazidi kura zote za wagombea wengine ukijumlisha nazilizoharibika.
Uhuru - 5,453,347
Raila - 4,732,029
Gap - 721,318
Constituencies - 254
Gap imeshaanza kuhama toka saba na kuelekea nane.