March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

ninavyoona odinga atakuwa kapigwa, kura 600000 ni nying sana, ama kweli mtt wa nyoka ni nyoka
 
Wakuu, matokeo yalivyo kwa sasa yanampa ushindi Uhuru. Kura 5,159,344 alizonazo yanampa asilimia 50.003 kwa kura 10,312,347 ambazo zimewekwa kwenye hesabu. Asilimia 50.003 ni zaidi ya 50%+1

Tiba

Matokeo tayari ndo hivo Uhuru kachukua nchi, waliopiga kura ni 70% hivyo 14,308,221x70% = 10,015,755.

Hivyo, tactically, the GAME is already OVER.

MkamaP hebu tuambie Uhuru kapata asilimia ngapi?
Inamaana hata Tiba hujapata hapo kwa tiba?
 
Last edited by a moderator:
Zilizoharibika sio rahisi kufika 5% kwa sababu hadi sahivi hazijafika hata laki mbili.

zilizoharibika zikifika laki 2 itakuwa ni 2% so uhuru still needs bigger gap to secure straight victory.
 
Ila wakenya inabidi wajitahidi kuboresha kiswahili chao. Nasoma hapa kwenye TV eti Mudavadi "asalimu amri". Sasa kitu cha kupongezwa kama alichofanya Mudavadi kinawezaje kuitwa kusalimu amri.
 
Kenya nao wamechagua msanii tu.., makosa tuliyoyafanya sisi a while ago.., na sasa tunavuna tulichopanda (walichopanda waliomchagua)


Ni vitu viwili tofauti...
Napingana na wewe mpaka pumzi yangu ya mwisho, na sihitaji msaada toka kwa mtu yeyote
 
wapendwa kwa mujibu wa k24 tv ambayo naiona live sasa, muda wowote uhuru atatangazwa. kwa sasa amepata kura 5,436,371. odinga ana 4,724,998. ukumbi umeshaandaliwa naviti watakavyokaa watu wake. ni kama hawataki kusema rasmi, wanaachia TUME YA UCHAGUZI, MWENYE UFAHAMU INAONEKANA UHURU KASHINDA. NITAWAPA MATOKEO YAKITOKA



Jubilee readies for big party


By JOHN NJAGI jnjagi@ke.nationmedia.com
Posted Friday, March 8 2013 at 19:26

Politicians allied to the Jubilee alliance on Friday flocked Catholic University in the outskirts of Nairobi where a podium has been prepared for Uhuru Kenyatta to address the nation should he win the presidential contest in the first round.

Mr Kenyatta is leading with 5, 453, 347 votes against Raila Odinga's 4, 732, 029 votes tith results from 254 constituencies counted.

Tents have been erected outside the main auditorium at the University, with elaborate security and media arrangements.

Eye of those at the venue are trained on the television screens as they await for IEBC commissioners to announce results of the remaining constituencies and declare the winner of the presidential contest.

Among those who arrived at the media centre on Friday included former Naivasha MP John Mututho who failed to recapture his seat.

Others were Mr Kembi Gitura (Senator Murang'a), Mr Kipchumba Murkomen ( Senator Elgeyo Marakwet), Ekwe Ethuro (Senator Turkana) and Mr Asman Kamama.

Mr Kenyatta is expected at the venue after IEBC announces the winner of the presidential contest.

The arrival of the politicians at the venue indicates optimism for a first round victory.

The optimism is however a guarded one especially after concerns of possible errors and missed entries were raised over the tallying process.

http://www.nation.co.ke/News/politi...ig-party/-/1064/1714824/-/rn9c82/-/index.html
 
Hapa kuna dalili za kwenda raundi ya pili, hizo rejected nazo zinaongezeka.
 
Hapa kuna dalili za kwenda raundi ya pili, hizo rejected nazo zinaongezeka.

rejected tayari zimo kwenye hiyo % yan 50.04%, wasingehesabu hiyo sahizi uhuru angekuwa na kama 54%. Maana hadi sahizi uhuru anazidi kura zote za wagombea wengine ukijumlisha nazilizoharibika.
 
Kabebwa na ccm mafisadi hivyo ni lazima ashinde. Unajua mafisadi wanalindana kote duniani, na hata kinanatembo hatoki huko mpaka Uhuru atangazwa.
 
Uhuru - 5,453,347
Raila - 4,732,029
Gap - 721,318
Constituencies - 254
Gap imeshaanza kuhama toka saba na kuelekea nane.
 
07:50pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 5,453,347
Raila Odinga - ODM: 4,7xxxxx
 
Mkuu Kenyan,

Usilale Bwana endelea kuleta matokeo!!!!

Tiba
 
rejected tayari zimo kwenye hiyo % yan 50.04%, wasingehesabu hiyo sahizi uhuru angekuwa na kama 54%. Maana hadi sahizi uhuru anazidi kura zote za wagombea wengine ukijumlisha nazilizoharibika.
Hali ikiendelea hivi basi hali ni mbaya kwa Raila na Kalonzo.
 
rejected tayari zimo kwenye hiyo % yan 50.04%, wasingehesabu hiyo sahizi uhuru angekuwa na kama 54%. Maana hadi sahizi uhuru anazidi kura zote za wagombea wengine ukijumlisha nazilizoharibika.

What numbers are you looking at? Total votes casted as at 7:52 was 10,922,143. Uhuru needs 5,461,109 in order to win. By that time he did not have those yet, and i am not sure whether that position has changed.
 
Uhuru - 5,453,347
Raila - 4,732,029
Gap - 721,318
Constituencies - 254
Gap imeshaanza kuhama toka saba na kuelekea nane.

Tatizo hayo matokeo mpaka sasa bado hayaonyeshi ushindi Kwa Uhuru. Mpaka sasa ana asilimia 49.9 ambazo hazimwezeshi kumpa ushindi wa moja kwa moja!!! Kama hakutakuwa na mabadriko makubwa, basi second round haiepukiki!!!!

Tiba
 
Dida amevuta balaa sahizi ni wa tano anamkaba koo Keneth sasa.
 
Back
Top Bottom