March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Tatizo hayo matokeo mpaka sasa bado hayaonyeshi ushindi Kwa Uhuru. Mpaka sasa ana asilimia 49.9 ambazo hazimwezeshi kumpa ushindi wa moja kwa moja!!! Kama hakutakuwa na mabadriko makubwa, basi second round haiepukiki!!!!

Tiba

Bado kuna tatizo la issue ya Percentage. Kwa mfano Daily Nation walikuwa wakionyesha banner ya idadi ya kura na percentage lakini wameondoa!
Kuna pia hot discussion kuhusu hilo kwenye Blogs/site za Kenya, wasikie:

1. Sasa DN, what happened to that banner chart that showed the percentage of votes garnered by the candidates?
On another note, we really miss the professor of mathematics, counting is hard!

2. Let them also tell us the total number of votes cast. Some of us are stealing our employer's time browsing and we don't have the time to do all those calculations.

3. That banner was flawed! You mean none of you noticed that? Or somehow it consoled you huh? DN had their own definition of "total votes cast" and continued to show percentages that were based on wrong base figures. What surprised me is that they did that for so long, which to me is very irresponsible of such a media house. You know the consequences, don't you DN?

4. Don't be lazy. Work it out. The target is 5.7m votes. Whoever hits that number carries the day.

5. Alfotula, that wont work Unless number 1 beats number two by about 800,000 votes. If the gap of 500,000 votes remains; then If Uhuru gets 5.7m and Raila 5.2m, Uhurus % will be 5.7/(5.7+5.2)X100 =52.2%. Remember this assumes that the race is only btw Raila and Uhuru. However, Mudavadi already has about 4% of the votes. So it is practically impossible for any to hit 50%. Figures dont lie bro.
 
Mtoa mada acha kupotosha,mbona husemi kaandaliwa na nani?hayo ni maandalizi binafsi ya wana jubilee endapo atatangazwa mshindi,ni kama ktk fainali timu zinakuwa zimeprint tshirt za ubingwa kabisa
 
Bado kuna tatizo la issue ya Percentage. Kwa mfano Daily Nation walikuwa wakionyesha banner ya idadi ya kura na percentage lakini wameondoa!
Kuna pia hot discussion kuhusu hilo kwenye Blogs/site za Kenya, wasikie:

1. Sasa DN, what happened to that banner chart that showed the percentage of votes garnered by the candidates?
On another note, we really miss the professor of mathematics, counting is hard!

2. Let them also tell us the total number of votes cast. Some of us are stealing our employer's time browsing and we don't have the time to do all those calculations.

3. That banner was flawed! You mean none of you noticed that? Or somehow it consoled you huh? DN had their own definition of "total votes cast" and continued to show percentages that were based on wrong base figures. What surprised me is that they did that for so long, which to me is very irresponsible of such a media house. You know the consequences, don't you DN?

4. Don't be lazy. Work it out. The target is 5.7m votes. Whoever hits that number carries the day.

5. Alfotula, that wont work Unless number 1 beats number two by about 800,000 votes. If the gap of 500,000 votes remains; then If Uhuru gets 5.7m and Raila 5.2m, Uhurus % will be 5.7/(5.7+5.2)X100 =52.2%. Remember this assumes that the race is only btw Raila and Uhuru. However, Mudavadi already has about 4% of the votes. So it is practically impossible for any to hit 50%. Figures dont lie bro.

mia toa tano za wengine toa moja mbovu toa arobain na 3 na point kadhaa za raila zinabakia kati ya 50 na 52 za uhuru, uhuru anapita ww
 
Ngoja tusubiri game iishe ili tumjue mshindi.

Uchaguzi huu unafanana na mpambano wa mpira, ambapo zinaisha dk. 90 hakuna mshindi, zinaongezwa dk. 30 hajapatikana mshindi, mwishowe mshindi anapatikana kwa njia ya kupigiana penalty.

Ndiyo hali itakayojitokeza katika mpambano huu mkali kati ya Raila na Uhuru, ambapó mshindi anaelekea atapatikana kwa njia ya matuta!!
 
Kwa kura zilizobaki, Raila hawezi kuwa Rais labda uchaguzi urudiwe. Kenyatta ndiye pekee anayeweza kuhit 51%.
Game over, tuangalie local government elections za bongo mwaka kesho. Waacheni waijenge nchi yao, na nyinyi nendeni kazini muache umbeya wa kijinga.
 
mia toa tano za wengine toa moja mbovu toa arobain na 3 na point kadhaa za raila zinabakia kati ya 50 na 52 za uhuru, uhuru anapita ww

Hiyo hesabu yako kali!
Kwenye hesabu hizo point kadhaa zina maana kubwa. Halafu usichanganye hesabu za kukadiria (tano za wengine na point kadhaa) na hesabu halisi (mia)
 
Sidhani kama kutakuwa na second round hapa. Jamaa Uhuru akipata kura 64 elfu atashinda kwa kishindo. Na hapa bado constituencies 37 hazijabandikwa na sidhani kama atakosa kura hizo.
 
Bado kuna tatizo la issue ya Percentage. Kwa mfano Daily Nation walikuwa wakionyesha banner ya idadi ya kura na percentage lakini wameondoa!
Kuna pia hot discussion kuhusu hilo kwenye Blogs/site za Kenya, wasikie:

1. Sasa DN, what happened to that banner chart that showed the percentage of votes garnered by the candidates?
On another note, we really miss the professor of mathematics, counting is hard!

2. Let them also tell us the total number of votes cast. Some of us are stealing our employer's time browsing and we don't have the time to do all those calculations.

3. That banner was flawed! You mean none of you noticed that? Or somehow it consoled you huh? DN had their own definition of "total votes cast" and continued to show percentages that were based on wrong base figures. What surprised me is that they did that for so long, which to me is very irresponsible of such a media house. You know the consequences, don't you DN?

4. Don't be lazy. Work it out. The target is 5.7m votes. Whoever hits that number carries the day.

5. Alfotula, that wont work Unless number 1 beats number two by about 800,000 votes. If the gap of 500,000 votes remains; then If Uhuru gets 5.7m and Raila 5.2m, Uhurus % will be 5.7/(5.7+5.2)X100 =52.2%. Remember this assumes that the race is only btw Raila and Uhuru. However, Mudavadi already has about 4% of the votes. So it is practically impossible for any to hit 50%. Figures dont lie bro.

Kwa kifupi, mshindi lazima apate 50% +1 ya kura zote zilizopigwa!!!! Achana na comments za facebook.

Tiba
 
07:50pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 5,453,347 [49.93%]
Raila Odinga - ODM: 4,732,029 [43.33%]

Total CAST 10,922,143

Kama total cast ni 10,922,143 basi anahitaji (10,922,143/2) + 1 ambayo ni = approximately kura 5,461,072
 
Kabebwa na ccm mafisadi hivyo ni lazima ashinde. Unajua mafisadi wanalindana kote duniani, na hata kinanatembo hatoki huko mpaka Uhuru atangazwa.

Jamani CCM sasa ina laumiwa kwa kila kitu? Ipo siku mwanaume mwenzako ata kupiku kumpata mwanamke utasema alibebwa na CCM.
 
07:50pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 5,453,347 [49.93%]
Raila Odinga - ODM: 4,732,029 [43.33%]

Total CAST 10,922,143

Kama total cast ni 10,922,143 basi anahitaji (10,922,143/2) + 1 ambayo ni = approximately kura 5,461,072
Mkuu zikiongezeka hizo na kwenye Total cast na yenyewe inaongezeka hivyo itataka kura zaidi ziongezeke kwa mshindi, kifupi inabidi gap liwazidi wale jamaa wengine pamoja na rejected votes.
 
wapendwa kwa mujibu wa k24 tv ambayo naiona live sasa, muda wowote uhuru atatangazwa. kwa sasa amepata kura 5,436,371. odinga ana 4,724,998. ukumbi umeshaandaliwa naviti watakavyokaa watu wake. ni kama hawataki kusema rasmi, wanaachia TUME YA UCHAGUZI, MWENYE UFAHAMU INAONEKANA UHURU KASHINDA. NITAWAPA MATOKEO YAKITOKA

Lakini me naona Odinga jembe.
 
Hao marafiki wa Raila hizo walizojumlisha na kuona Raila kashinda walizitoa wapi au zilikuwa ni propaganda tu.
 
...labda walijumlisha zile kura za maoni ya kabla ya uchaguzi ambazo mara zote Raila alikuwa anaongoza, kumbe zilikuwa chaka baya...
 
Mkuu zikiongezeka hizo na kwenye Total cast na yenyewe inaongezeka hivyo itataka kura zaidi ziongezeke kwa mshindi, kifupi inabidi gap liwazidi wale jamaa wengine pamoja na rejected votes.

cha muhimu kujua ni kura ngapi zilipigwa ?, ni wangapi walipiga kura ?, hilo ndio swali nimekuwa ninauliza kuanzia kitambo ila no one seems to know ila sidhani kama wote waliopiga kura wanazidi milioni 12
 
Uhuru Kenyatta: 5, 667, 243

Raila Odinga:4, 776, 827

kweli huu ni mwaka wa Jubilee
 
Back
Top Bottom