Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
We Jamaa unalipwa nini na huyo Mahaba niuwe wa MISS PENATI, maana si kwa kumpatia madini mazito kiasi hiki [emoji848]Messi wa sasa hamfikii Mbappe wa sasa ila ni vigumu kupima mtu katika peak yake wakati mwingine anazeeka.... (Na mpira ulivyo rahisi kwa striker sasa hivi kuliko hapo awali tegemea Mbappe kuvunja rekodi zaidi
Messi ni wa pili kwa kuongoza kwa kucheza World Cup na amefika fainali zaidi ya moja as a captain ni kwamba alishindwa kuwavusha wenzake ndio maana nikasema Messi sio Grafter ni vigumu kumtegemea awaongoze at the peak tofauti na watu kama kina Roy Keane, Anelka, Gattuso ambao ni vocal, mambo yakienda mrama ana-bottle it (ndio maana muache afanye magician yake lakini usimpe ukiongozi) kwahio many a times he has been found wanting (sio world cup tu bali hata Copa America)
Kuna watu wameshinda world cup by their individual brilliance Maradona 1986 na Pele 1958 and they were by far the best players
Ukiwa Messi au Ronaldo timu inabidi ijengwe kwa kukuzunguka wewe, to get the best out of you hapo unapewa / unapata advantage hata kocha anakwambia ukipata mpira mpe fulani..., ndio hapo linakuja suala pia la mpira wa sasa wachezaji stars wanalindwa na marefa zamani kina Ronaldo na Messi hizo mechi 30 wasingemaliza baadhi wangekuwa wanauguza majeraha
Kwahio Argentina kina De Maria ambao mpaka wanakaa Benchi wote ni maboya ? Huyo Kipa Je aliyewafanya wachukue Kombe ? Hivi unajua kina Juan Liquelme wote ni from Argentina ? Kina Saviolla na Teves Pia ? Katafute Historia ya World Cup 1958 uone kijana wa miaka kumi na saba baada ya kukaa bench mechi za mwanzo alivyoingia na kufanya Brazil washinde Kombe tafuta uone jinsi 1966 alivyokuwa target England na kumfanya awe majerui na kushindwa kucheza alafu tafuta uone 1976 mambo aliyofanya..., Yaani ukiwa mdogo ukafanya makubwa na mbele ya ma-star wengine na sio vidampo na bado wakakupa Heshima gundua unayofanya sio ya kawaida
Kuna kushinda Kombe ukiwa bora kama wengine au arguably better kuliko wengine kuna kushinda kombe ukiwa man of the match (kwangu mimi yule kipa ndio man of the match sababu ingekuwa ni other story kwa Messi so close but no cigars)
Kwahio kipa hawezi kuwa mchezaji bora ? What about midfilder au watu kama Maestro Andre Pirlo?
Na unamaanisha nini kwamba Ronaldo na Messi wanamzidi Pele na Maradona kwenye assists na goals ? sikuelewi mkuu Hivi unajua Maradona aliweza kufanya Timu ya kawaida kushinda Kombe la Italy Single Handed ?
Na hizo takwimu unazichukua vipi (kipindi hiki ambacho mpira ni kama Golf ukiguswa refa anazuia na wakati ule mpira ni physical ) Hivi unajua hata rekodi ya Eusebio ya Portugal ya magoli Ronaldo haijaivunja ? au unadhani walimjengea Sanamu kule Portugal na kumuita the Black Panther kwa kumuonea Huruma sababu anatoka Msumbuji ?
Ni prelogative yako kumkubali hata Peter Crouch.... na Ronaldinho anazo hizi magic moments kama vile ambavyo Messi anazo (Ingawa trick yake moja Okocha anasema alimuibia) tukienda mbali zaidi hata kina Zidanne, Figo n.k. wana something Unique ila kwa historia ya hivi karibuni hata kabla hatujafika mbali huwezi ukamtaja Ronaldinho ukamuacha The Real Ronaldo de Lima.., pia complete player unamtafsiri vipi ?
Unajua Balon d'Or ni nini na inapatwa vipi
Conceived by sports writers Gabriel Hanot and Jacques Ferran, the Ballon d'Or award honours the male player deemed to have performed the best over the previous year, based on voting by football journalists, from 1956 to 2006.[2] Originally, it was awarded only to players from Europe and widely known as the European Footballer of the Year award. In 1995, the Ballon d'Or was expanded to include all players from any origin that have been active at European clubs.
Haya niambie Pele angewezaje kushinda hio hata mara moja, hata Eusebio mwenyewe hakushinda sababu ya rangi yake hadi Geoge Weah kuja kuwa mwafrika wa kwanza kushinda....
Rudi kwa Pele linganisha mwenyewe (mtoto ambaye alifanywa ni nyara ya serikali ili timu za ulaya sisimchukue)..., alafu kaangalie huko kwenye Club yake Brazil amekuwa decorated kiasi gani..., by the way Nigeria walisimamisha vita kupigana ili wakamwangalie Pele...
Unaangalia vitu kwa mafungu inabidi uangalie kwa ujumla Messi second player with most world cup appearances lakini uki-equate na his achievement he comes short by far kwa wengine wote kina De Lima, Pele, Mbappe n.k. now how do you say about that ? Narudia tena kuna Pele alafu na wengine wengi na watakuja wengine wengi zaidi but there will only be one Pele...
Ingawa huwa naamini mwenye mahaba huwa kipofu wa kupokea ukweli sababu ya kuongozwa na hisia (moyo) badala ya akili (ubongo)...[emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app