Marco Van Basten amponda Messi na kudai ni mchezaji wa kawaida sana

We Jamaa unalipwa nini na huyo Mahaba niuwe wa MISS PENATI, maana si kwa kumpatia madini mazito kiasi hiki [emoji848]

Ingawa huwa naamini mwenye mahaba huwa kipofu wa kupokea ukweli sababu ya kuongozwa na hisia (moyo) badala ya akili (ubongo)...[emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hata kusoma unajua ?

Rudia Kusoma nilichoandika alafu urudi tena hapa tuendelee kuongea hapo nimeongelea logics na facts tupu wala sijasema Messi Greatest of All Time (hapana far from it) ninampa credit ni good player tumemaliza as for the legend in Football there is just one guy....
 
Ukweli mtupu, chawa na zombies wa Miss Penalty mwageni povu
 

Umesahau CONMEBOL-uefa cup of Champions ⌛
 

Best player everrr
 
Uzuri mmebaki na midomo kombe kabeba Messi.

Haya Ronaldo akafie mbali na timu ya taifa anapigwa benchi
 

Messi ana classic goals against Ronaldo,
Messi kacheza match chache kuliko Ronaldo

Messi ana Worldcup Ronaldo hana
 
Unazungumzia ile miaka hata mpira hauna sheria?

Pele kutokucheza soka ulaya ndio kumemfanya messi awe mchezaji bora toka dunia iumbwe
Zamani Mpira ulikuwa America Kusini .....ndio miaka mpaka wakina Uruguay wanafululiza kucheza fina mwenzake Brazil.....

Sasa Pele aende Ulaya kufanyaje wakati mafundi wote wapo kwenye Bara lao.?.
 
"Mtu mwenye umbo dogo angepata shida sana" yet the late Diego Armando Maradona aliweza kucheza na kusumbua hata huo utawala wa Pele.
Hivi kwani hao wachezaji wafupi hawakuwepo back then?
Mbona Pele sasa kama mnamzidishia sifa?
 
"Mtu mwenye umbo dogo angepata shida sana" yet the late Diego Armando Maradona aliweza kucheza na kusumbua hata huo utawala wa Pele.
Maradona alicheza na Pele ? Kupata shida ni kushindwa kucheza ? Hivi unajua Maradona ni mara ngapi alikuwa akicheza huku amepigwa maganzi ? Hujiulizi kwanini huenda Messi ameweza kucheza mechi nyingi zaidi kuliko hao kina Maradona ?
Hivi kwani hao wachezaji wafupi hawakuwepo back then?
Mbona Pele sasa kama mnamzidishia sifa?
Garrincha mwenyewe mchawi wa chenga alikuwa urefu sawa na Messi ila ndio hivyo huenda Garrincha angecheza leo angekuwa even better kutokana na urahisi wa kufanya mambo huku Refa anakulinda....

Sifa za Pele tazidisha vipi ?, niambie ni kipi Messi anamzidi Pele alimzidi Pele ili twende sambamba just pick one tufanye dissection...
 
Maneno yanaishi, hata kama aliyasema miaka 10 ilopita kama hajayakanusha yanabaki kuwa ndio msimamo wake.
 
"Mtu mwenye umbo dogo angepata shida sana" yet the late Diego Armando Maradona aliweza kucheza na kusumbua hata huo utawala wa Pele.
Hivi kwani hao wachezaji wafupi hawakuwepo back then?
Mbona Pele sasa kama mnamzidishia sifa?

Hapa nachokiona ni ushabiki na sio uhalisia wenyewe😃 mashabiki wa ronaldo wamehamia kwa pele tena 😃 sasa pele wakumlinganisha na king Messi kweli! Huyu huyu pele ambae hakuwahi kucheza ulaya! Amecheza hukoo kijijini santos na USA😃 Kweli huyu ndio wakumlinganisha na mtu ambae ana makombe yote na individual performances!

Kwanza hakuna aliemshuhudia Pele humuu JamiiForums... sasa sijui wanapata wapi ujasiri wa kumlinganisha na king messi.. pele wamlinganishe na akina haaland, Lewandowski na de lima hawa ndio wa size yake japo ana World Cup.



Mkuu, hebuMuombe mafanikio ya pele na diego kama atakupa.. au akupe mafanikio ya King La purga na mafanikio ya pele... i know that hataleta na kuukimbia uzi.
 
Itoshe kusema CR7 ni tizi mpira, Messi ni kipaji kama Gaucho yaani hata wasipopiga tizi sana wao wanafanya maajabu uwanjani. Ni hayo tu!

Na itoshe kusema rekodi zinawekwa ili zivunjwe. Sasa Messi kashavunja rekodi za baba na babu zake akina Pele, Maradona na wengineo.
 
Baada ya messi kuchukua ubingwa wamehamia kwa pele, sasa pele wakumcompare na mwenye mpira wake Ka purga! Huyo pele kwa diego hafui dafu kwa Messi ndio atagusa!! Messi ni mmoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…