Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
"Jana Marefa 9 wa Championship wamefungiwa kuto kuchezesha mashindano yoyote kwa msimu mzima unao fata
Kosa kubwa lilo fanya wafungiwe ni kudai stahiki zao na kuwaeleza matatizo yao Waandishi wa habari.. Wengi wa Marefa hao hawajalipwa pesa yoyote kwa zaidi ya msimu mi3
Kikao hicho kili hudhuriwa na Kidau pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi Nassor Hamduni
Wenye mamlaka dawa ya deni ni kulipa sio kuwafungia hao Marefa, Championship ina mdhamini izo hela za mdhamini zina kazi gani kama ata Marefa hawa lipwi?
HII HAIKUBALIKI 🙌🏼".
Ameandika Mchambuzi Nasri Khalfan kupitia ukurasa wake wa Instagram.