Marefa wa ligi kuu mtende haki wakati mnasimamia mechi mbalimbali za ligi kuu

Marefa wa ligi kuu mtende haki wakati mnasimamia mechi mbalimbali za ligi kuu

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Jana nilishuhudia mechi baina ya timu ya Simba dhidi ya Mashujaa. Binafsi niliona kama timu ya Simba ikibebwa kwa asilimia 100. Iweje Refa anazidisha muda kiasi kile ili hali muda uliopangwa wa mechi umeisha?.

Iweje penati kutolewa kwa Simba wakati Kapombe hakuguswa na mchezaji wa Mashujaa?.

Kwa kweli inauma sana kwa kuonewa kwa timu hizi ndogo ndogo kiasi kiasi cha kuwakatisha tamaa.

Marefa mnaochezesha Ligi Kuu ya Tanzania badilikeni na mtende haki.
 
Mungu si Athumani, hii ni jana hiyo hiyo kuhusu dakika.
Screenshot_20250502-235811_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom