Marefa wa Tanzania na Wasaidizi wenu mpaka siku mkifa kwa kupigwa vibaya Viwanjani ndiyo mtajua kuchezesha Soka kwa Haki na siyo Chuki na Maagizo

Kama ningekuwa karibu pale, huyo line 1 lazima ningempa cha kati.
Mimi ningekuwa na Mguu wa Kuku ningemaliza Shughuli pale pale nikayaanze Maisha mapya Segerea Gerezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…