Kifungu gani hicho mkuu.....Mkuu mbona imeandikwa "Vitaumbwa Vipya na Nchi zitajeuka"
Sikumbuki ni Kifungu gani wala kitabu gan Ila Biblia imeandika hayoKifungu gani hicho mkuu.....
AmenMkuu hiyo ni sala kwa Roho Mtakatifu “Come oh Holy Spirit and fill the hearts of your faithful, send forth your Spirit and they shall be created....”
Dunia imeisha. Yaani mtu anapiga kabisa selfie na marehemu tena kwenye jeneza.[emoji23][emoji23][emoji23]sky ikiwa wanadam wa sasa wapo makin kupiga Selfie na marehem , Sembuse kumvisha mawani???[emoji23]
Labda wana imani za Wamisri wa kale kwamba marehemu azikwe na vitu vyake akatumie huko anakoenda.Well tie ni vazi lakini proscribed glassess kwa marehemu???
Pengine mawani siku hizi vazi pia kwasababu sishangai kuona mtu kavaa bikini na mawani likubwa tena nusu ya uso wake!!Well tie ni vazi lakini proscribed glassess kwa marehemu???