Marehemu amevalishwa miwani

Marehemu amevalishwa miwani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Tulikwenda msibani, katika kuona sura ya mwisho marehemu amenyolewa ndevu vizuri na kuvushwa miwani. Hii ni mara yangu ya kwanza kuona marehemu akiwa na miwani. Kwa tunaimfahamu marehemu alivaa miwani ya macho enzi za uhai wake. Ulishawhi kuona hili?
 
Sky kuna ujumbe unajaribu ku- deliver hapo ila nimetoka kapa
 
Sioni tofauti ya marehemu aliyevikwa tai na asiyevikwa!
Vile vile sioni tofauti ya marehemu aliyevikwa miwani na asiyevikwa
 
Sioni tofauti ya marehemu aliyevikwa tai na asiyevikwa!
Vile vile sioni tofauti ya marehemu aliyevikwa miwani na asiyevikwa
Well tie ni vazi lakini proscribed glassess kwa marehemu???
 
Labda wana imani za Wamisri wa kale kwamba marehemu azikwe na vitu vyake akatumie huko anakoenda.

Au walitaka aonekane kama alivyokuwa hai tu.
Ninaweza kununa the second thought.
 
Back
Top Bottom