Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue kuna mtu kama Bishanga Bashaija ukimvua miwani anakuwa tofauti kabisa na ulivyomzoea.Ninaweza kununa the second thought.
Hakuna kujamiiana pia!Si ulisikia kuwa kule jela siku hizi si kula kulala tena na mateke juu.
Cheki na yule MKUSANYA RAMBIRAMBI wa Taifa. Kama humjui muulize BillnassTulikwenda msibani, katika kuona sura ya mwisho marehemu amenyolewa ndevu vizuri na kuvushwa miwani. Hii ni mara yangu ya kwanza kuona marehemu akiwa na miwani. Kwa tunaimfahamu marehemu alivaa miwani ya macho enzi za uhai wake. Ulishawhi kuona hili?