Marehemu amevalishwa miwani

Marehemu amevalishwa miwani

Labda alikua na tatizo katika macho, alivimba sana, yaliharibika kwa namna fulani ndio wakaamua kumvisha miwani ili msiamanike mtakaoenda kumuaga.
 
Tulikwenda msibani, katika kuona sura ya mwisho marehemu amenyolewa ndevu vizuri na kuvushwa miwani. Hii ni mara yangu ya kwanza kuona marehemu akiwa na miwani. Kwa tunaimfahamu marehemu alivaa miwani ya macho enzi za uhai wake. Ulishawhi kuona hili?
Cheki na yule MKUSANYA RAMBIRAMBI wa Taifa. Kama humjui muulize Billnass
 
Hii inaitwa End to End Encryption wenye Decryption keys kazi kwenu
 
Back
Top Bottom