Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

goroko77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8,845
Reaction score
13,072
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri

Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake

Kwa kifupi marehemu alikuwa na maneno ya kashfa Sana na hili CMG hawalisemi
 
Haya wacha nikale endeleni na mjadala kuhusu mareheu ila akiwatokea usku msinitafute
 
Back
Top Bottom